Recent content by muhala.jr

  1. muhala.jr

    Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

    3rd world war is knocking..... Hawa wa Israel wamtoe Netanyahu haraka kwa maandamano la sivyo hawatapenda
  2. muhala.jr

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco eneo la chanika (ILALA) Kuna shida gani? Mteja anafanyiwa survey then anakaa Zaid ya miezi miwil hamtoi control number kwa madai hakuna nguzo, je mna uhaba wa nguzo kiasi hiko?? Wateja wengi wanalalamika
  3. muhala.jr

    Airtel router 5G for sale

    Nauza hii router ya 5G Ina bando ad 3/4 la unlimited. Reason nilipo airtel mndandao uko chini. Bei 95000.call 0779654041.
  4. muhala.jr

    Nimetapeliwa kwenye ndoa ya Kikristo tena na mkristo mwenzangu

    Pole Sana. Simple chagua kimoja Kati ya Furaha na huzuni, Furaha inabid ufany maamuzi magumu kumuacha au kuachana nae legal.. Ulee mtoto u focus na maisha yako, huzuni ni kuchagua kumvumilia na kuamini atarud katik himaya yako. Kama una shuhuli zako za kiuchumi bhasi ni jambo zuri Ila kama huna...
  5. muhala.jr

    Hili ni janga la Kitaifa kwa Mabinti waliopo kwenye Ndoa!

    Wanawake wengi wanaanza kuingiliw kinyume kabla hata ya Ndoa inshot now ni kama fashion. Huko ktk group zao wanahamasishana Sana kufanya hvo
  6. muhala.jr

    Eti huyu ni mke wa mtu,tena kaolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa na watu wakakusanyika ukumbini kuhudhuria sherehe ya harusi yake.

    Simple principle.kama ukilala na mke /mume wa mtu ujue na ww wako ataliwa tuu na utajua hata by coincidence
  7. muhala.jr

    Mkeo aliwahi kukulaza lock up, baada ya kutoka maisha yalikuwaje?

    Msamehe lakin kaa nae kikao kizito mpe term and condition. Muelez kwann ulimuadhibu na ajue waz Kua utamuadhibu tena akizngua
  8. muhala.jr

    Lissu, anzisha chama chako achana na Mbowe

    Lisu ni mwanaharakati tuu na sio kiongozi. Aanzishe Chama cha harakati uongozi ni karma ambayo yeye Hana.
  9. muhala.jr

    PreGE2025 Wapiga Kura 1200 Wote Wana Njaa ya kufa Mtu huyo Tundu Lissu anashindaje?

    Ifike wakati lazima tujiulize maswali rahisi Sana. TAL Alikua naibu mwenyekiti wa Chama na mwanasheria kwa vipindi tafauti je alieleza kwa nafasi yake alifanyia nini Chama?? Ni mchango gani alitoa katika Chama? Yeye asijione Kua ni msafi zaidi kuliko wengine sio kweli. Lakini pia iko wazi Kila...
  10. muhala.jr

    Mshangao: Wanafunzi wa shule moja ya msingi wote wamechaguliwa secondari moja

    Nadhani umeongea kufurahisha mtima wako. Sawa kubwajinga
Back
Top Bottom