mada za kimbulula zishaanza tena,i hate such people taking their time to make idiot dialogue kwani kuna haja gani mkaanza kurushiana maneno kuhusu whom to blame on al shabaab's movements,kenyans are united by now ila mimbulula ya tz kutwa kucha kurushiana maneno tu.
i have a dream one day al shabab,boko haram,al qaeda,americans,europe,kenya,palestina,israel and others will sit together on the table and make cheers. believe me the day is coming its a matter of time.
naamin tunaanza kuwa sawa sasa, hata hz thread za kidin din zinatia kichefuchefu,mimi naamin hata mungu anapenda sana watu tuwe wafuasi wa uzalendo ndio msing wa amani na heshima katika taifa tuna mengi ya kufanya jointly, hata tufanyeje kuna kitu tuna share in common whether ni muslims au...
safi sána mkuu kuna haja gani ya kuanzisha suspections za aina hii,tujiamin whether kikwete ametajwa au lah haiongezi chochote,kwanza kwa sasa wana matatizo makubwa let them settle their problems sio kuanzisha tatizo jingine.
hairusuhu aisee this is typical terrorism na imekaa kisiasa zaid,kwa mtizamo wangu hiki ni kisasi baada ya kenya kuivamia somalia,hakuna mafundisho ya kiislamu yenye kuruhusu umwagaji wa damu za watu wasio na hatia mostly wanawake na watoto,inahuzunisha sana,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.