Recent content by Muhadhiadam

  1. M

    Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

    Maana yake kaacha biashara yenye manufaa, kaenda kwenye biashara yenye risk za kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. M

    Wahitimu wengi wanajutia kusoma chuo kikuu. Mzazi mwandalie mwanao Mtaji. Zama zimebadilika

    Hivi elimu ni zile content unazokuwa nazo kichwani au ni lile karatasi ( gamba)?
  3. M

    Maajabu ya baadhi ya makanisa: Wapo radhi kumwabudu na kumheshimu Mwamposa lakini siyo Bikira Maria kama vile alifanya kosa kubwa sana kumzaa Yesu

    We jamaa hata Bible huijui yesu si Mungu wala mwana wa Mungu. Ushahidi Mathayo 26:61-64 Hata baadaye wawili wakatokea, wakasema, Huyu alisema, Naweza kulivunja hekalu la Mungu, na kulijenga kwa siku tatu. Kisha Kuhani Mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudia nini? Lakini, Yesu...
  4. M

    Bajeti Wizara ya Viwanda na Biashara 2024/2025

    Tuwasubiri wachambuzi waje [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!
  5. M

    Mchezo wa sabuni unanitafuna taratibu, naomba msaada niache

    Kwa matumizi ya nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]???
  6. M

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Umerahisisha mambo, Kisayansi unaamaanisha yaani "ufahamu na ufupisho"
  7. M

    Bora Episode au mke wa pili na watatu!

    Wamekusikia watalifanyia kazi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  8. M

    Mwanamke ni sura nzuri, umbo zuri na haiba za kike tu basi

    Je na hao ambao cyo waziri waende wapi???
  9. M

    Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

    Kati ya Chris na huyo mwamba wa nje, nani alianza kuukata huo utepe ili tukusaidie ideas za kikubwa maana Chris bado anautoto na utaweza kumuovercome
  10. M

    Sura na Tabia kipi kinakufanya Uoe?

    Sura ya kawaida na tabia ndivyo vinavyomata/zingatiwa ila takle siyo muhimu sana Ila hayo ni maoni yangu tu.
  11. M

    Ni nini hasa kazi na umuhimu wa kuvaa nguo za ndani?

    Umemaliza kila kitu[emoji419][emoji419][emoji419]
  12. M

    Mbunge Christopher Ole Sendeka asema bastola yake imemsaidia kuokoa maisha yake

    Nini kinachokuthitishia kwamba yesu ndie Mungu
Back
Top Bottom