Recent content by Mugerezi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye kiongozi mwenye mamlaka makubwa duniani kuliko mtu wa aina yoyote

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kweli mpinga kristu tunaye within. Wastage of time and resources. Hakika Mungu atalipia sumu unayomwaga. It's a shame!!! Hizi story ziko miaka mingi sana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

    Ni haki yako kutoa maoni!! Kila mtu kichwa chake. TL ni mtu when it comes to sheria.
  3. M

    JamiiForums Tanzania DAR: Jengo la NHC zilipo ofisi za Tanzania Daima na Billicanas laanza kubomolewa

    Kama ni siasa hatujengi hata kidogo. Na kama kesi iliyopo mahakamani ikiamuliwa kinyume chake jamaa atapiga bingo. Tusubiri tuone..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nikimtazama Tundu Lissu huwa nacheka sana kwa anayoyafanya

    Hizi mada nyingine duh!!! Analofanya analijua kama ambavyo na wewe ufanyalo unalijua kwa mada kama hii!!! Kwa maksi ni negative!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kubenea, usijisumbue kutuma SMS, Ubungo hatukutaki

    Unalalamika wakati watu tunapigiwa simu zina Sauti ya Magufuli anaomba kura!!!! What a shame.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe akamatwa uongo akihalalisha kumbeba Lowassa!

    Too late jiandae na kikatio chako no more bluh bluh.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Apson Mwang'onda aendelea kumtapeli Lowassa. Amhakikishia kuwa ameshinda Uchaguzi na Ikulu ni yake

    Kweli kuna watu hawana kazi za kufanya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kinondoni hatutaruhusu mtu yeyote kubaki vituoni

    Porojo tu hizo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Kwani Lowassa Kawa Mganga wa Kienyeji?

    Duh! Kaaa tafakari kwa umakini kwanini watu wengi wanamtaka Lowassa licha ya kuwa na baadhi ya mambo yasiyo mazuri. Kama mnadhani kuwa ni dawa au watu hawafikirii vizuri basi nadhani iko kinyume chake. Mnajisumbua tu MMM makala ndefu hizi hazitabadiri watu maana mengi yanajulikana. Hata...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa akosa sifa za kuwa rais wa Tanzania

    Kasome azimio la Zanzibar. Naona kuna kukariri.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maswali Magumu ambayo CHADEMA na Lowassa hawawezi wakayajibu

    Hakuna swali hapo!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Tanzania mpya chini ya Lowassa!

    Porojo tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Atakayekaidi na kubaki kituoni kulinda kura "HATAVUMILIWA"

    Tunasubiri kwa hamu siku ifike tuone hayo mabavu ya juu ya sheria.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanaomwamini Lowassa wampe uongozi wa CHADEMA

    Wewe kama mtanzania una haki kusema usemavyo lakini kumbuka hii nchi si yako peke yako kila mtu ana hiari yake. Kama vile CCM na madudu yote bado ina wapenzi basi na CDM nayo ina wapenzi na watampigia kura Lowassa. Maamuzi ya mwisho niya mpiga kura. Semeni yootee tukutane Oct 25.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Operesheni Zinduka 6 - Yumkini Kikwete Anataka Lowassa Ashinde?

    JK ameshiriki kwenye kumkata Lowassa sioni hana jipya gani. Mimi naomba afanye hilo unalo shauri. Tumesikia akiwa Kenya kuwa mgombea wa CCM atashinda ndani ya Bunge la kenya. Hakuna jipya hapo. Tunasubiri kwa hamu tamko lake ili mwisho wa siku kusiwe na visingizio. Mapambano ya CCM yameishia...
Back
Top Bottom