Mbowe akamatwa uongo akihalalisha kumbeba Lowassa!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,621
Reaction score
14,577
Nukuu , gazeti la RaiaTanzania , 24/10/2015 pg 4.

Katika kujaribu kudeflect makombora ambayo anayatazmia yatakuja, Mbowe ameanza kutengeneza stori ambazo kimtandao inakuwa rahisi sana kuona uongo wake.

Akiwa anamnadi mgombea wa CHADEMA/UKAWA Mh Lowassa. Mbowe amejigamba mbele ya wananchi huo Karatu, kwao na Dr Slaa kuwa kampuni ya Kimarekani iitwayo Greenberg Quinlan Rosner Research, ilimfanyia tafiti kati ya February na May 2015.
Ati kampuni hiyo iliainisha kuwa mtu wa kumchukua ni Lowassa na si Dr Slaa, na kwamba Lowassa akiwa CCM angmbwaga Dr Slaa.

Eti hili lilihalalisha kumchukua Lowasa baada ya kukatwa na CCM kugombea urais!!!!

Makachero wa Raia Tanzania wakingia kazini.
Nanukuu...:

"..uchunguzi wa wiki mbili uliofanywa na RaiaTanzania ulibaini kuwa kampuni hiyo ya Marekani HAIJAWAHI kufanya utafiti wowote nchini mwaka huu wala mwaka wowote"

Alipoulizwa kwa nji ya barua pepe iwapo taasisi hiyo binafsi inayoheshimika kimataifa ilishiriki kwenye utafiti wa Februari hadi Mei mwaka huu Makamu Rais wa Greenberg Quinlan Research Dk. Jeremy Rosner alisema: ..We have never done any research for Chadema or for anyother entity in Tanzania."

Uongo una tabia moja, si tu unachafua hali ya hewa , bali pia unamchafua Zaidi muongo huyo, na kuthibitisha jinsi tuhuma mbaya zilizopita juu yake , kuwa ni za kweli.​
 
Mbowe huwa ni mwongo kwa sili na hawezi kusema ukwelin hata kidogoooo
 
Mkimpa lowassa ..hatashinda na msipompa lowassa hatashinda....bt mkimpa magufuli lazima ashinde na hata msipo mpa lazima ashide..tuna kura nyingi snaaaaa..kutoka wa wapenda uadilifu na wapenda maendeleo na si ufisadi
 
Mbowe huwa ni mwongo kwa sili na hawezi kusema ukwelin hata kidogoooo
Uongo ni dhambi mbaya sna hasa kwenyesiasa.
Hii inaficha nyuma ya pazia jinsi sasa inavoeleweka kuwa Mbowe amepozwa mabilioni kumbeba Lowassa.
Kauza upinzani wote kwa kipato haramu.
Lakini njia ya mwongo ni fupi.
CHADEMA lazima itasambaratika tu kwa hali hii kama hatua mahsusi hazijachukuliwa.
 
duuuuh!mbowe katisha saana si kwa uongo huu.uongo m'baya sanaa.HAPA KAZ TUU.chagua magufuli kwa mabadiliko boraa zaid.na si bora mabadiliko.
 
Tapeli hili, hana tofauti na matapeli wa udarali n.k
 
Uongo ni dhambi mbaya sna hasa kwenyesiasa.
Hii inaficha nyuma ya pazia jinsi sasa inavoeleweka kuwa Mbowe amepozwa mabilioni kumbeba Lowassa.
Kauza upinzani wote kwa kipato haramu.
Lakini njia ya mwongo ni fupi.
CHADEMA lazima itasambaratika tu kwa hali hii kama hatua mahsusi hazijachukuliwa.
Kwa CHADEMA kuingia matatani, that's a foregone conclusion.
Sasanasikia atatangaza matokeo kila kituo, nani atamwamini?
Once a liar. always a liar!
 
Mbowe ni mbabaishaji sana. Tizama anavyoyumbisha dhana ya mita 200 eti ameibadilisha na kusema kusherehekea ushindi. Aaaaaah! Ushindi gani wataupata manyang'au hawa?
 
Nukuu , gazeti la RaiaTanzania , 24/10/2015 pg 4.

Katika kujaribu kudeflect makombora ambayo anayatazmia yatakuja, Mbowe ameanza kutengeneza stori ambazo kimtandao inakuwa rahisi sana kuona uongo wake.

Akiwa anamnadi mgombea wa CHADEMA/UKAWA Mh Lowassa. Mbowe amejigamba mbele ya wananchi huo Karatu, kwao na Dr Slaa kuwa kampuni ya Kimarekani iitwayo Greenberg Quinlan Rosner Research, ilimfanyia tafiti kati ya February na May 2015.
Ati kampuni hiyo iliainisha kuwa mtu wa kumchukua ni Lowassa na si Dr Slaa, na kwamba Lowassa akiwa CCM angmbwaga Dr Slaa.

Eti hili lilihalalisha kumchukua Lowasa baada ya kukatwa na CCM kugombea urais!!!!

Makachero wa Raia Tanzania wakingia kazini.
Nanukuu...:

Uongo una tabia moja, si tu unachafua hali ya hewa , bali pia unamchafua Zaidi muongo huyo, na kuthibitisha jinsi tuhuma mbaya zilizopita juu yake , kuwa ni za kweli.​

Uliiona copy ya majibu ya barua hiyo? Vyombo vya habari Tanzania vina tabia ya kusema uongo!
 
Mbowe ni mbabaishaji sana. Tizama anavyoyumbisha dhana ya mita 200 eti ameibadilisha na kusema kusherehekea ushindi. Aaaaaah! Ushindi gani wataupata manyang'au hawa?
Yaani ndugu zako na Watanzania wenzako washakuwa manyang'au? Wow!
 
Uongo ni dhambi mbaya sna hasa kwenyesiasa.
Hii inaficha nyuma ya pazia jinsi sasa inavoeleweka kuwa Mbowe amepozwa mabilioni kumbeba Lowassa.
Kauza upinzani wote kwa kipato haramu.
Lakini njia ya mwongo ni fupi.
CHADEMA lazima itasambaratika tu kwa hali hii kama hatua mahsusi hazijachukuliwa.

Kila mwaka huwa nasikia CHADEMA itasambaratika
 
Back
Top Bottom