habari za jioni ma gwiji,
hivi mwanamke unapomwambia nakupenda akakujibu ahsante, inakua ina maanisha nini sababu kuna ndugu yenu ambae anaweza kua mimi kajibiwa hivyo kwenye text kaishiwa pozi hapa.
what is he supposed to text next?
Mwambie" asante too" na hasipojibu mambie ulimtania tu...
Uvumilivu wa kisiasa ni muhimu sana kuwepo ndani ya mioyo ya wa Tz . ningeliviomba vyama viwaandae wafuasi wake katika khla kuu mbili kushindwa na kushnda
Haina faida kukejeliana na vijembe juu.
Amka kijana tukalijenge taifa
Ni dhana ya maisha ulipoanguka nyanyuka na pgana...
Mapenz yanakutesa najua huna pesa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Asante kaka umemaliza yote waache unafk kuchanganya siasa na mzk na kiba ana haki kikatiba kabisa kuchagua chama .... mi team diamond lakn kiba anajua kishenz tatizo si mjasiliamali wa muzk ndo maana hustle zake hazionekan .. na pia hao mashabk uchwara wa kiba achen hzo jitahd kumuelewesha mtu...
Kwa sasa siasa zimefika patamu sana walutheli vs wakatoliki kuta zinazotafutwa kwa hudi na uvumba na pande zote mbili ni za waislam .... ama kweli dhambi ya udini ni hatari tokea mwaka jana na walaka mpaka leo tunaona matunda yke tusubir kuvuna tu baada ya 25 oct
Kuna biashara na "social responsibilities ( ethical practice)" sasa ndugu yangu unataka ije vp wakat kwenu tu pamoja kuwa na uwezo hamkuwahi kukaa na "yatima"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.