Recent content by mudy ayoub

  1. M

    Uchumi ukikua kwa 7.2% na kuwa wa pili kwa Afrika, Akiba Commercial Bank yaanza kupunguza wafanyakazi hali tete kihasara

    Lumumba shida. Sijui wako nchi gani. Nashindwa anae sifia hali hii anafanya shughuli gani za kumuingizia kipato mpaka aone mambo poa. Au ameajiriwa wp maana waliopo serikalini wanalalamika. Wakulima hakuna soko la mazao yao. Gunia la mahindi 30000. Gharama za kuzalisha kilo moja ni sh 500. Mimi...
  2. M

    Bashe: Rais Magufuli amekuwa 'frustrated' ndio maana anabadili sheria kila mara Ikulu

    Huyu jamaa n zitto ningekuwa n uwezo ningewapa nchi. Vichwa vyao vipo vzr
  3. M

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Mimi nadhani mzazi aliyesomesha mtt private schools anakafanya vzr serikali inabidi kumpongeza n kumsapoti. Tunapokuwa n Engineer mzuri ni kwa faida ya nchi sio mzazi. Nina rafiki yangu amemsomesha mtt private schools. Mtt akamwambia bb yake nataka kuwa Engineer wa ndege. Akampeleka China 5...
  4. M

    Rais Magufuli awaambia wananchi wa Morogoro wajifunze kuchagua

    Sio kweli kwamba sehemu zilizona wabunge wa upinzani ndio zenye kero tu. Kazi ya mbunge ni kutoa au kueleza kero za wananchi wake kwenye vyombo husika. Kero anazoweza kutatua kwa kuunganisha nguvu za wananchi hufanya ivyo. Kiongozi anapoelezwa matatizo ya wananchi akakimbilia kusema mbunge wa...
  5. M

    Rais Magufuli awaambia wananchi wa Morogoro wajifunze kuchagua

    Sio kweli kwamba sehemu zilizona wabunge wa upinzani ndio zenye kero tu. Kazi ya mbunge ni kutoa au kueleza kero za wananchi wake kwenye vyombo husika. Kero anazoweza kutatua kwa kuunganisha nguvu za wananchi hufanya ivyo. Kiongozi anapoelezwa matatizo ya wananchi akakimbilia kusema mbunge wa...
  6. M

    Mnaotetea Rais Magufuli kutohudhuria mikutano mikubwa ya kimataifa someni hapa

    Ni kweli serikali inahubiri viwanda lkn imeweka mikakati gani au mazingira ya viwanda hivyo kuwepo. Mfano mdogo tu leo hii unasema mafuta ya kupikia kutoka nje ya nchi kodi yake iongezwe maradufu. Mkulima wa alizeti au mazao mengine ya kuzalisha mafuta tumemtengenezea mazingira gani ya kuzalisha...
  7. M

    Rais Magufuli: Mkisema mnaomba chakula mnakufa, nitasema tu kufa. Hakuna chakula cha bure

    Kweli kbs upungufu wa chakula kunatokea kwsb nyingi. Mwaka huu kunatatizo la wadudu wanashambulia mahindi. Sehemu nyingine mvua zimeketa mafuriko mazao yameharibika. Tusiwape lawama watu hawa wakiwa n upungufu wa chakula
  8. M

    Tamko la Serikali: Hakuna fedha tasilimu ya shilingi trilioni 1.51 iliyopotea, ni madai ya wasiolitakia mema taifa letu

    Pesa haionekani wanataka kutuaminisha mpaka itumike ndio tutajua ipo wp au umetumika wapi. Ukistaajabu ya musa utayaona ya Firauni
  9. M

    Humphrey Polepole ni nani?

    Kweli wewe ni jingalao
  10. M

    Kafulila: CAG amekwepa jukumu lake kwa kushindwa kuweka msingi wa zilipo sh 1.5 trilioni

    Hahaa yule mtu mahiri wa zamani kawa kituko cha mwaka. Kazi CAG nikukagua matumizi ya serikali. Alichokiona ni kwamba 1.5 trillion hazionekani zimetumika wapi. Na accounting officers walitakiwa waeleze ndani ya siku 21 . Hawa kuweza kutoa majibu. Sasa unaposema CAG aeleze hela hizo zipo wp sio...
  11. M

    January Makamba: Mzee anieleza siri juu ya mzee Nnauye, mzazi wa Nape

    Halafu unasema hapa kazi tu kazi gani Mh Heche
  12. M

    Deni la Taifa na mishahara linavyokomba makusanyo ya Serikali

    Huu ndio ukweli bado sana kwa nchi yetu kujitegemea. Tuipongeze serikali kwa kuongeza makusanyo kwa mwezi ukilinganisha n awamu iliyopita. Bado tupombali kutoa msaada kwa wazungu. Mitumba lzm tuvae, hongereni kwa kuona katazo la mitumba tulikuwa tunakurupuka. Japo kuna watu walishabikia bila...
  13. M

    Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

    Tatizo uelewa wako mdogo. Gharama za kuzalisha kilo moja ya mahindi inakaribia sh 500 . Sasa unapozuia mkulima asiuze kwenye soko linaweza kumpa faida unadhani kesho ataweza vp kulima. Huwezi zuia bei ya kilo ya unga isipande kwa kumuonea mkulima. Athari yake watu haswa wakulima wakubwa...
Back
Top Bottom