too biased and pathetic analysis. ilikuwaje ck hiyo ufanye ufuatiliaji wa ITV pekee na kutoa hitimisho lako?
kwani ulifanya hitimisho lako hilo kulinganisha na TV gani nyingine?
star TV ilikuwaje? na kwani lazima magufuli aoneshwe na ITV pekee?
uko sahihi. kukemea ufisadi si jambo LA kukurupuka ili upate kura bali permanent ajenda.
upinzani ulitaja kupambana na ufisadi wa kimfumo na si kama kasuku. that's y walisema watahakikisha katiba ya wananchi inapatikana ambayo ndo dawa ya ufisadi na kujilimbikizia Mali na vyeo
WANAFIQ WAKUBWA NYIE. Iwapo mliondoka CHADEMA kwenda kwenye upinzani halisi ina maana cdm hakukuwepo na upinzani makini. so, baada ya kukosa mlichoahidiwa mnarudi CHADEMA twambieni lipi lililo badilika ndani ya CHADEMA HADI MRUDI? Kafilie mbali wachumia tumbo wakubwa nyie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.