Wakuu habari,
Hapo juu mada imejieleza ila nahitaji kujua utofauti na ubora wa mashimo yetu ya vyoo, maana hivi karibuni kumeibuka technolojia mpya ya uchimbaji wa mashimo ya vyoo (vyoo vya kisasa) ambavyo mashimo yake huwa ni mafupi yenye urefu wa futi 6, ikiwa inambatana na shimo lingine...
Wana jamvi msaada wa mawazo. Kuna sehemu nilidai pesa yangu zaidi ya miezi 6, hatimae leo wamenilipa. Naomba ushauri niifanyie uwekezaji au/ biashara gani ambayo itazalisha na kuongeza thamani ya pesa.
Malipo yenyewe ni madogo tu ni milion1 na laki tatu, eneo nililopo ni Mwanza tayari...
Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta...
Habari za wakati huu, moja kwa moja niende kwenye mada kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nadhani umefika sasa wakati ambapo sisi wananchi na watanzania inabidi tuanzishe mjadala wa kitaifa juu ya maswala yanayogusa uchumi wetu, Rasilimali zetu na maisha kiujumla, na...
Habar za muda huu, ni kipind cha miez 11 sasa tangu niombe kuonganishiwa huduma ya maji Mkoa wa Mwanza, kila nikienda ofisini naambiwa mita hazipo na hazijafika, kama mmeshindwa kutunganisha maji kwa mita zenu, basi mruhusu wawekezaji na supplier wafanye hivyo.
Mbona mita hizo zimejaa kwenye...
Waakuu habar zenu!, Gari yangu inatatizo la kuvuja maji, baada ya uchunguzi mdogo nimebaini maji hayo yanavuja sehem ya Radiator (RAJETA) ,Naomba kujua gharama za i/Ufundi endapo ataiziba.
ii/Kununua Radiator mpya na kuifunga.
Niko Mwanza , natumain mafundi wazur mpo humu nitapata ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.