Recent content by Mubezi

  1. Mubezi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

    unajua team ikiwa na mchezaji ambae ..... 1.Anajua kukaba 2.Anajua kutoa pasi za mwisho 3.Anafunga pia......basi team pingani lazima imchezee rafu nyingi ili aumie atoke la sivyo 🤣
  2. Mubezi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

    Dangote alipooanza alikuwa anauza cement kwa sh 9,000,lkn baada ya kupigwa mkwara akapandisha
  3. Mubezi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

    Mjomba wa mkuluu huyo.
  4. Mubezi

    JamiiForums Tanzania Safari yangu mikoani, na ununuzi wa ndege

    Mnanamo tarehe 1/11/2019 nilichukua likizo na nikaamua kusafiri na familia yangu, mume, mke na mtoto mmoja. Ni mwenyeji wa Bukoba na mke ni mwenyeji wa Kigoma. Niliamua kupanda basi ili nijionee barabara zetu, kutoka Dar mpaka Bukoba barabara sio mbaya sana ila kuna maeneo fulani lami. Tatizo...
  5. Mubezi

    JamiiForums Tanzania Kampuni yadai Akram Aziz alivamiwa, kupekuliwa kwa saa 20

  6. Mubezi

    JamiiForums Tanzania Kamba aliyoachiwa Makonda itamning'iniza na itatoa Somo

    Mama alinikataza kusema neno ETI...ETI...ina maana kubwa.
  7. Mubezi

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa Dr Magufuli na Lowassa

    Sijui watu hawafikirii,je mnakumbuka mwaka 2005,watu tulikuwa na imani kubwa na kikwete na alituhaidi mengi,na watu wakasema ili ni chaguo la mungu,je kafanya nini?,magfuli sawa ni mtenda kazi ila uko ndani ya ccm mfumi wao ndio unaowaangusha,so la msingi ni KUPIGA CHINI CCM.ili kuwepo na mabadiliko
  8. Mubezi

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa siyo wa kupuuzwa

    Naomba kuuliza HV ILE ILE HABARI YA MTOTO WA MKUU WA KAYA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA,NA MKUU KWENDA KUMUONDOA ILITOLEWA NA NANI? 1.JE UKWELI WAKE AU SHAIDI WAKE ULIONEKANA? 2.NA KUUSU KUTAKA KUULIWA NA USALAMA WA TAIFA NANI ALISEMA,JE UKWELI ULIPATIKANA? Mi naona huyu jamaa anaweza...
  9. Mubezi

    JamiiForums Tanzania Shinyanga mjini, wafuasi wa Dr. Slaa wahama CHADEMA

    lini umekuwa mwana ukawa?
  10. Mubezi

    JamiiForums Tanzania Shinyanga mjini, wafuasi wa Dr. Slaa wahama CHADEMA

    hv chadema haina watu wazima na wazee? ni vijana tu?,na vijana ndio wameumizwa na ya dr slaa peke yao? mbona watu wazima na wazee hawajatoka kuandamana? au wao hawajaumizwa? au chadema au ukawa ,cuf na nccr havina ata wazee? na why vijana tu kwenye uchaguzi wa mwaka huu?,kwa mjibu wa nec vijana...
  11. Mubezi

    JamiiForums Tanzania JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Kweli watz hamsikilizi !!!! Mnyika jana alikuwa natetea mpango wa serikali wa kusambaza maji maji yenyewe UBUNGO ikiwepo!!! pendeni kusikiliza sio kutoa maani ya kitu usichokijua,
  12. Mubezi

    JamiiForums Tanzania Manumba, Tunataka Taarifa ya Mtoto wa Mengi/Mengi

    Jamani ni kama mwaka sasa!!! Ile kesi ya mtoto wa mengi kukutwa na madawa ya kulevya imeishia wapi? mana nakumbuka mengi alisema mwanae kawekewa na madawa na wakuu wa usalama !! je hao wakuu walichukuliwaje na je huyo mtoto wa mengi imekuwaje!!! Jamani mbona kimya haya ni mambo muhimu kuyajua...
  13. Mubezi

    JamiiForums Tanzania Kwanini waarabu wanataka Zanzibar kwa gharama ya watanganyika?

    Nyie sio wamoja!!! Mnasema mpo pamoja kwasababu ya muunhano.ila mkishavunja muungano mtakuta sio wamoja,bali kuna wapemba na waunguja!!! Poleni sna!!! By nyerere 1995
  14. Mubezi

    JamiiForums Tanzania Je CHADEMA wana nini cha kujifunza katika ushindi huu wa Arumeru? Toa maoni ya

    subiri kwanza furaha iishe mana umefanya haraka mno,nitashindwa kuchangia vizuri!!!!
  15. Mubezi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    si ushidi wa chadema kamwe, na si ushindi wa nassari hata kidogo. Huu ni ushindi wa haki dhidi ya dhulma, ni ushindi wa uhuru wa fikra dhidi ya utumwa wa fikra, ni ushindi kwa kila mtanganyika na mzanzibar dhidi ya mafisadi, huu ni ushindi wa umma dhidi ya tawala katili na kandamizi...
Back
Top Bottom