Recent content by Muarobaini

  1. M

    Jombi, Jambazi aliyetisha wa Kimataifa aliyeishi Tanzania

    Okay Umeongezea Nyama Na Kwa Mwandishi Wa Story Amesahau Jina La Kati Aliitwa Nani Ni Abinala Jombi
  2. M

    Baada ya mkutano wa Mdude CHADEMA na waandishi wa habari yafuatayo ni wazi sasa

    Kwahiyo akitukana sheria inasema atekwe? Kwa maelezo yako naona unakubalina na Mdude kuwa kutekwa kwake Serekali hii inahusika
  3. M

    Ukweli kuhusu "kugongwa" kwa Dreamliner ya ATCL,ushindani wa kibiashara na siasa za kutakiana mabaya

    Umejitahidi kuandika pasipo kuanisha vyanzo vya chuki Chuki huwa hainzi tu,husababishwa na visababisho vikubwa ni uminyaji wa haki Labda tu kina kitu ulicho kitahadhalisha ni rahisi adui kushinda kwakua tumekosa umoja wa kitaifa ni vema sana kwa wasababishi wa chuki hizo wakaelewa tumekosea...
  4. M

    Mhadhiri UDOM aionya Serikali kuhusu Lissu

    Mshauri wake mkuu zero so sidhani kama maprofessor walishirikishwa
  5. M

    Dkt. Bashiru: CCM haitavumilia Watanzania kugeuzwa manamba

    Nilichogundua ni Kwamba ,wasaidizi wa raisi ndio wabaya wanao mchonganisha Rais na Tundu Lissu huwezi kueneza ubaya kaiasi hicho alafu Rais asiamini Tundu Lissu sio mbaya hivi Deko ni kumwambia Raisi afate utawala wa sheria,Deko ni wananchi kuuwawa kwa misingi ya kiitikadi,Deko ni kutoa...
  6. M

    Bila Magufuli kumdhibiti Mbowe CHADEMA itakufa kabla 2020

    Mwanama Mfu,Andiko Mfu,Akili Mfu
  7. M

    Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

    Paskali unachokizungumza ni cha ukweli ,ila watanzania huwa hawasahau maana wanajua viongozi ni kina nani na wachumia matumbo ni kina nani, Jambo la kuliweka akilini ni kwamba CCM imeshindwa siasa inatumia hovyo Pesa za umma kwa kushirikiana na vyombo vya dola,hivyo haya kwa watu wenye upeo...
  8. M

    Nitawasilisha hoja tatu kwa chama changu CHADEMA

    Habari za alfajiri Chief,huwa nasoma makala zako nyingi na unakua na hoja nzito na zenye mashiko,samahani naomba tuwekane sawa kwenye hoja ya uraia pacha kitu ambacho napingana nacho kitambo Labda ningependa kufamu hili kwa uchache,umefikiri vipi kuhusu mtanzania masikini anaeishi kwa mlo...
  9. M

    Zitto, acha Ubishi wa Kijinga... Sikiliza anachosema Rais. Yeye ndo anajua

    Someni kwa utulivu mumuelewe mwandishi
  10. M

    Je, Mhe. Zitto Akamatwe na Kushtakiwa Kwa Kuidhalilisha Taasisi ya Urais Kwa Kudai Fedha za Leo Sio Gawio ni Maduhuli?

    Kwahiyo hata Rais akiwa anakunywa sumu tumuache anywe kwasababu ni Baba mwenye nyumba?
  11. M

    Zitto Kabwe: Kama ningepata mamlaka ningefanya tofauti

    Mawazo Mazuri kama haya yanadhaurilwa kisa tu ushauri umetoka kwa upinzani
  12. M

    Fatma Karume: COSTECH wanatakiwa kusimamia scientific research na sio scientific polling

    Kuna kitu hapa mnachanganya Vyote ni science ila hamja tofautisha kati ya reseach na Polling
  13. M

    Mwigulu Nchemba ajibu kuhusu madai ya Bashe na raia kutekwa

    Mh. Mwigulu kinyago ulicho kichonga ndio tatizo maana kinakufanya uwe kimya ukihofia nguvu yake na kwajinsi kilivyo jiinua busara yako ndio itakusaidia ila kumbuka whats goes arround come arround
  14. M

    Kama mawaziri wameidhinishwa tar 24 maamuzi yao kabla ni batili

    Wengi wetu tumesikia majibu ya waziri mkuu kuwa mawaziri wapo kihalali na wameidhinishwa toka tarehe 24 ya mwezi huu wa nne hivyo nikataka kujua kisheria maamuzi waliyokua wakiyafanya kabla ya tarehe hiyo yatakua na uhalali wowote kisheria?
Back
Top Bottom