Muarobaini
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 215
- 73
Wengi wetu tumesikia majibu ya waziri mkuu kuwa mawaziri wapo kihalali na wameidhinishwa toka tarehe 24 ya mwezi huu wa nne hivyo nikataka kujua kisheria maamuzi waliyokua wakiyafanya kabla ya tarehe hiyo yatakua na uhalali wowote kisheria?