Recent content by Muarobaini Mchungu

  1. Muarobaini Mchungu

    Hoja ya nguvu inapokuwa nguvu ya hoja ...utata mtupu bunge la katiba

    Bunge letu la katiba linaelekea kutoa picha halisi ya ni jinsi gani watanzania tulivyo zaidi ya kuonyesha au kusaidia kuipata katiba mpya kama wote tulivyonuia. Ushabiki wa vyama na sera za vyama zimejionyesha wazi na hata wajumbe kuanza kujadili/kuanzisha hoja za nguvu huku wakishindwa...
  2. Muarobaini Mchungu

    Bado Naendelea kutafuta jibu CCM na CHADEMA: Je, ni wapinzani wanaofanana?

    Mkuu hatufananishi sura, tujaribu kufananisha matukio, unaweza ukawa na sura nzuri lakini ukawa mchawi kuliko bi Kizee!! Tafakari
  3. Muarobaini Mchungu

    Bado Naendelea kutafuta jibu CCM na CHADEMA: Je, ni wapinzani wanaofanana?

    Nilipost hii mwezi wa NNe, Na Matukio ndo yanazidi kunichanganya yaani kufanana fanana kwingi...... anyway Nakumbushia ili wapiga kura tutafakari zaidi kwa ajiri ya Tanzania.......2015 ""Jibu rahisi ni HAPANA hawafanani! bado niko katika kutafakari juu ya nani ni afadhali ya mwenzie. Kwa...
  4. Muarobaini Mchungu

    Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

    Well said mkuu huu ni Muarobaini mchungu kwa wavivu wa kufikiri!
  5. Muarobaini Mchungu

    Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

    Pamoja na mjadala kufungwa ndani ya chama na Bos Slaa, bado JF imejaa posts zinazomhusu Zito. Kwa kiasi fulani Umaarufu wa CHADEMA umeongezeka na hali hii itaendelea kupanda kulingana na matukio tunayoyatarajia, ikiwemo kuvuliwa uanachama, KUB Bungeni kumjadili nk. Kwa upande mwingine Hoja...
  6. Muarobaini Mchungu

    Sakata la kina Zitto: CHADEMA watangaza kufunga mdomo

    Dr. Slaa kafunga mjadala? hiki sio kikao cha chama nashangaa wavivu wa kufikiri nao wansisitiza mjadala umeshafungwa!! Huku JF watanzania tunaendlea kujadili hoja kama kawa! tabu kwenu wenye magonjwa ya ushabiki wa vyama badala ya hoja!! Mwikimbi hayo matatizo uliyoyainisha hapo juu sio kitu...
  7. Muarobaini Mchungu

    Kutoroka kwa kapuya: Jeshi la polisi thibitisheni umakini wenu!

    katoroka au kakimbia nchi? nipo katika kutafakari na U ccmquine au u chademaquine ni aina ya magonjwa wanayougua waumini wake. Mie sio mmojawenu... ni muarobaini mchungu kwa ajiri ya TANZANIA.
  8. Muarobaini Mchungu

    Kutoroka kwa kapuya: Jeshi la polisi thibitisheni umakini wenu!

    Sijawahi kuona ila nimeisha sikia! tafakari zaidi
  9. Muarobaini Mchungu

    Kutoroka kwa kapuya: Jeshi la polisi thibitisheni umakini wenu!

    Mkuu mbona unajichanganya na habari yako? ametoroka au kaenda nje ya nchi kikazi? nauliza tu nikiwa katika juhudi za kujitenga na wavivu wa kufikiri kabla ya kuchangia hoja!
  10. Muarobaini Mchungu

    Mustafa Sabodo ni nani?

    JE huu NI UPINZANIA WA KWELI huu au mapenzi tu kwenye pesa? yaani roho yake hatujishughurishi nayo ila pesa yake INSHALLAH.....I WISH ingekuwa hivi na ndani ya vikao vya vyama vyetu hivi yaani kukubaliana kutokukubaliana!! SEBODO ANAKUBALIKA KOTE CHADEMA NA CCM...... Jaribu kumuiga na umasikini...
  11. Muarobaini Mchungu

    Maria Sarungi: Katika Siasa hakuna Malaika wala Shetani

    Mfano halisi wa Mtanzania mvivu kusoma hivyo hata kufikiri ni tatizo pia!! JF ina mambo!!!lol
  12. Muarobaini Mchungu

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    “Nimeshawahi kusema hapa mara nyingi kwamba harakati za vijana katika siasa zinafungwa speed governor na wazee wasiopenda mabadiliko ndani ya vyama vya siasa.Fikra huru zinashambuliwa ndani ya vyama vya siasa.....nimefurahishwa pia na maneno ya Nape Nnauye bila kujali itikadi za kisiasa.Pia...
  13. Muarobaini Mchungu

    Anayeuza meno ya Tembo anapomlaumu Ngassa!

    Mule Mule well said, No more comments!!!
  14. Muarobaini Mchungu

    Hospitali ya mkoa Mbeya,wajawazito wanalala wawili kitanda kimoja

    mkuu inaelekea wewe ni mgeni na Hospitali zetu hadi ulivyopeleka mgonjwa!! kwa taarifa yako MUHIMBILI pia hayo ni mambo ya kawaida!!! Karibu tena.
Back
Top Bottom