Yan mimi naona hawa jamaa wapo sawa kabisa!sababu sioni umaana wa kuwa na mtu ambaye sio msagaji na ni msomi halafu anakuwa mwizi kama akina chege na akina bashite.
bora msagaji tuuuuuuu:(:(:(:(:(:(:(:(:(
haki ya Mungu kwa kweli tnahitaji maombi sana kwa aina ya maisha na viongozi tulonao Nchini kwetu,Yan haka ka jamaa hakaeleweki wala hakatabiriki wapi kapo Humphrey Polepole
upo sahihi mkuu ila watanzania kuwaelewesha huwa ni kazi ngumu sana watu wanajitahidi huku na kule kuhakikisha wanaelewa lakini cha kushangaza uchaguzi ukifika madudu yanajirudia yan hata kama ni kurogwa basi sisi tumeshamalizwa jaman ccm sio watu kamwe
.
Kwa hela hii Branch manager wala mtu yoyote wa chini hawezi jaribu kufanya TRANSFER HII KAMWE!Labda NMB lakin kwa mabenki haya ya kigeni lazima itoke authority ya CREDIT HEAD AMA VINGINEVYO.HAPA WATU WAKUBWA WANAJUA VIZUR SANA BM,yeye atakutana na karatasi ama e-mail na ku-reply tu si zaid ya...
Hata mimi nashangaa sana kwa elimu na uelewa alokuwa nao mheshimiwa masele ni AIBU AIBU AIBU KUBWA SANA KWA RAIS wetu kupa mtu huyu kitengo nyeti kama hiki jamani,Certificate mpaka degree UDSM? siwezi kukubali ama kukataa wana jamvi ila masele ni mwizi mzuri mwenye shule ndogo na ya kuunga unga...
Tatizo la mheshimiwa huyu huwa akisikia neno Proffesor anachachawa sana na kuamini hawezi kufanya madudu ila hapa hamna kitu ni sanaa tupu na uteuzi huu unanipa mashaka sana icje ikawa mzee wa watu wamemstaafisha kwa nguvu ajili ya kufichua maovu yao ya kipuuz!
Awamu ya rais wetu huyu imeonekana...
Wewe kama ungelikuwa jiwe kuu la msingi ulikuwa wapi kusema wakati ufisadi wote huu unafanyika kama wewe sio mjinga na mpumbavu?acha kutuchanganya wanachi wa mwanza hawapo hivyo na kama uliona wakati huo nini kilifanya unyamaze bila kulitolea na kulipazia sauti kama sasa?wewe ni mjinga tu hoja...
Anthony diallo ni mpumbavu kabisa kama ccm wenzake wengine walio na elmu za ujanja ujanja kama akina mwigullu mchemba na diallo mweyewe!Ninachokijua na kukiamini kabsa ni kwamba watashidwa tu na upuuzi wao wote wanaoufanya!kwa nini ukweli hawautaki?????????????????
Huyu hana lolote ni mwizi na fisadi tu asitake kudanganya umma eti utajiri wake yeye ni hiyo mifugo yake!jaman utauza Ngombe wngapi ununue VX V8 tano?na utauza mifugo mingapi ujenge walau ALPHA kama za kinondoni ngapi kama sio uongo?LOWASA wewe nae ni mwizi tu na huna kipya cha kutueleza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.