Recent content by MTZ Real

  1. MTZ Real

    Usilolijua wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa Rais Magufuli

    awesome, research inakupa uwezo wa kuongea, mwenye na mtazamo mbadala aweke data, maneno ya vijiwen sio
  2. MTZ Real

    Msaada: Tatizo la kuhisi vitu vinatembea mwilini

    Wana JF. Nina ndugu yangu ana miaka 25, anasumbuliwa na tatizo tangu 28.06.2015 mpaka hivi leo yaani anahisi kuna vitu vinamtembea mwilini mpaka wakati mwingine anafikia kujikuna mwili na ni maeneo ya tumbo na mgongo yaani usawa wa kuanzia kiunoni mpaka mabegani, amekua akiogopa hata kwenda...
  3. MTZ Real

    Clouds TV mnatia aibu!

    hawa jamaa ni wanafiki na majungu tu ndo wanaweza juzi wametoa statistics za kinafiki na uongo eti clouds tv ndio kituo kinacho ongoza tz kwa kupendwa na kuangaliwa then itv kuna ukweli wowote kweli juu ya hili? binafsi hawa jamaa huwa siwaelewi kabisa angalia kile kipindi cha magazeti asubuhi...
  4. MTZ Real

    CCM waaibika Arusha

    we we mleta mada ni mvivu wa kufikilia lakini pi huitakii mema Tanzania, hlo ni jambo la kushangilia kama mtu uliepevuka kweli? kua kiakili acha ushabiki usiokua na msingj na hiyo sacoss yako
  5. MTZ Real

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    huwezi boss mzumbe na udsm wanachukua 1 na 2 ta kwanza kwa miaka hyo lakin pia competition ni kubwa saaaaaana labda uombe stela maris au josiah kibila
  6. MTZ Real

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    jaribu Health systems management mzumbe boss japo competion ni kubwa saaana sijui kama watakuchukua
  7. MTZ Real

    Madiwani 10 wa CCM na UDP wajiunga na CHADEMA

    mpalu hivi kweli hawa madiwani na wenzao wenye mlrngo wa dizain yao wana nia nzuri na watanzania na Tanzania kwa ujumla au wapo kimaslahi tu?
  8. MTZ Real

    Humphrey Polepole: Sio Dr. Slaa wala Lipumba wanaofaa kuwa wagombea urais wa UKAWA

    kaka magufuli hauuzwi na mtu yeyote, anajiuza mwenywe, jambo alilolisema polepole lina ukweli ndani yake, wewe ndo unaona hana lakuchangia katika hapo ila huyu bwana alichokisema ni cha ukweli ndugu, lakini pia upepo wa slaa mwaka huu sio wa mwaka 2010.
  9. MTZ Real

    Humphrey Polepole: Sio Dr. Slaa wala Lipumba wanaofaa kuwa wagombea urais wa UKAWA

    huyu bwana namuona kama ana uwezo mkubwa saaana wa kutazama ukweli japo hawa nguli wawili hawatoweza kubaliana na ukweli hata kidogo aseeeee
  10. MTZ Real

    Justine Nyari ndiye habari ya Arusha mjini kwa sasa

    bro uko na uhakika?
  11. MTZ Real

    Kumbe CHADEMA haifahamiki Vijijini

    Tatizo si chama bali tatizo ni mtu coz ccm ina majembe as same as chadema lakini pia chadema ina wanywa viroba wengi saaana as same as ccm
  12. MTZ Real

    Miaka michache ijayo tusishangae wasomi wetu wakawa hivi

    But accordind to st. Thomas acquinas in his thoughts he said that, a good manager is the one who can manage his or her steps, hiyo alternative yako siyo ya kisomi na inaonekana wewe unasoma kufauru na sio kuelimika, ukielimika utabuni njia mbadala ambayo itakutofautisha na mtu ambaye hajaenda...
  13. MTZ Real

    Naombeni msaada wapendwa

    Dogo hebu jaribu kwenda d.i.t na uanze ngazi ya cheti coz naona kama una d tano
  14. MTZ Real

    Hivi kwanini wahitimu wa Udom wanapata ajira sana

    Achaga uongo mr. Mbona unakua kama first year na tabia zao za kushindanisha vyuo? Na nina uhakika kabisa wewe utakua first year na g.p.a yako ya 2.8 first semister
Back
Top Bottom