Nshawah mpeleka mjomba ang kufanyiwa hyo operation, dr alnambia kua haya n matokeo ya kuDO sn enz za ujana, n uzeen inabd upunguze otherwise kla cku utakua ukpgwa mkas
Joshua ktu unachoongea hata mie nko interested nacho nmefuatilia hzo familia za kyahud kuna documentary moja inaitwa the world thrives imeelezea mambo yote hayo
Kumbe inawezekana tukawa na umeme ambao hauishi yaan una recycle lakn jamaa waliwapoteza wote waliojarbu ku invent hcho ktu coz...
Miss chaga una akil sn kuanzsha hii maada,hii inshu ipo hasa kwa wanaume ambao hawajiamin kuna rafk yang yy kila dem mkal anasema kapga tena anaongezea mbwebwe ka na ww unampenda yule dem utakuta roho inauma, bas kuna dem m1 mm nlmpenda nkamweleza rafk ang kama kawa akaanza "oh huyo nshapga tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.