Recent content by Mtwintwi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Polisi yakana kumkamata Salum Mwalimu, yadai alijipeleka mwenyewe ili akamatwe

    Kwa matusi mko vizuri!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki nilichokiona jana Kinondoni, Mtulia tafuta suti tu ya kuapishiwa

    Tayari kimeshaeleweka!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marudio wa Ubunge majimbo ya Kinondoni na Siha, Udiwani Kata 8: CCM yanyakua majimbo yote!

    Hayo matusi ndiyo huwa yanawacost! Huwezi kuwashawishi kwa MATUSI!
  4. M

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli amwapisha Dr. Wilbrod Slaa kuwa Balozi Sweden na Muhidin Mboweto kwenda Nigeria

    Ali-differ na CDM baada ya kumpokea MAMVI na alisema wazi! CDM tuliiamini lakini ilifanya grave mistake kumpokea MAMVI
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    WATZ Hamna jema!! Wewe ulisema kabambikiwa leo wageuka! Mhhh!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kauli za kebehi kwa Lowassa alipoahidi kumtoa babu Seya na mwanae

    Kwani kama Lowassa mlisema ni fisadi miaka 8 Wakati yuko CCM alipohama kuja CDM wakawa shujaa! UNASHANGAA nn????
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wampongeza Magufuli kumsamehe Babu Seya, wasema wafungwa wa kisiasa na mashehe wa Zanzibar wasamehewe pia

    Rais ndiyo anaamua HAPANGIWI na Mtu yeyeto wala chama chochote! Ni Katiba iliyopo inampa hayo mamlaka cyo MM!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumelogwa na nani tunashangilia walawiti kuachiwa, tumewafikiria wahanga?

    Siasa ni kucheza na akili za unaowatala!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

    Ujue CDM hapo ndipo mnakuja chinganya Mtu anasema kabisa atakimbia CCM Kisa kawekwa pembeni ninyi mnashangilia sasa Alitaka ale peke yake milele? Aachie na wengine wale yeye apumzike! Si unawaona Hao mawaziri wakuu waliopita wangekuwa wako bado WANAKULA CCM wasingekembia sasa wamekatwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    Utasubiri SANA! Usikate tamaa. Miaka mingi ilipita juzi ndiyo Trump alitangaza wapi makao makuu ya Israel! So kuwa mpole yote unayoomba kama Kweli unamuomba Mungu yatapata ufumbuzi but kama kwa kujipatia UMAARUFU forget about it kwani Mungu hapendi WANAFIKI!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Heri ya Kuzaliwa Kamanda wa Anga Freeman Mbowe

    Hayo ndiyo maneno yanayowakosesha kura nyinyi nyumba! Kwa hiyo ss ACT ss CUF ss NCCR na wengine hatujitambui! Then unategemea jicho chama kushika dola? Hujatinga Ikulu unatoa maneno ya kejeli cku ukiingia Magogoni? Angalia kauli zenu ndiyo zinatuponza UKAWA!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

    Na yeye atanunuliwa? Au? Maana tunasikia akihama toka upande ule kwenda huu WANANUNULIWA!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Anthony Dialo apeta Uenyekiti CCM Mkoa wa Mwanza

    Ndiyo maana kapigwa za USO!
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Wema hakuwa chochote ndani ya CHADEMA, Alikuja kwa matatizo yake

    Mwaka huu tutasikia na kuona MENGI yetu macho na masikio!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Milton Mahanga: Naomba niweke wazi, nilikuwa sitaki lakini mmezidi CCM. Acheni kunirubuni kwa fedha nirudi chama chenu

    Kwa nn hujasema siku zote? Unakuja kusema leo? You can fool some people some times BUT you can not fool all the peoples all the times! Think twice Muhenga.
Back
Top Bottom