Anthony Dialo apeta Uenyekiti CCM Mkoa wa Mwanza

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Hello!
Anthony Diallo anefanikiwa kutetea nafasi ya Uenyekiti CCM Mkoa wa Mwanza baada ya kushinda katika uchaguzi uliofanyika jana.
Amefanikiwa kupata kura 555 dhidi ya kura 520 za Said Meck Sadick.
 
kupeta ni neno LA kipumbavu lililotumika tawala zilizopita
kutmikia wananchi ni kazi kubwa ya kujitoa na sio kupeta
 
Yani leo ndio najua kuwa mzee Meck Sadik ni wa nyumbani.. Hongera kwa Diallo
 
Ukiwa CCM akili sijui huwa zinahama huyu Said Meck Sadick si alikuwa Mkuu wa Mkoa cheo chenye thamani sawa na Waziri akaacha mwenyewe sasa leo anaenda kugombania uenyekit wa CCM mkoa
 
Hello!
Anthony Diallo anefanikiwa kutetea nafasi ya Uenyekiti CCM Mkoa wa Mwanza baada ya kushinda katika uchaguzi uliofanyika jana.
Amefanikiwa kupata kura 555 dhidi ya kura 520 za Said Meck Sadick.
Dah inaonekana mchuano ulikuwa mkali sana, kwahiyo Mwanza mmeamua kubaki na CCM ya zamani!!......nimeamini mabadiliko siyo jambo rahisi!
 
Hello!
Anthony Diallo anefanikiwa kutetea nafasi ya Uenyekiti CCM Mkoa wa Mwanza baada ya kushinda katika uchaguzi uliofanyika jana.
Amefanikiwa kupata kura 555 dhidi ya kura 520 za Said Meck Sadick.
Huyu anataka mpaka wamfanyie kama ya Mugabe au...miaka yote si yeye tu au?
 
Ukiwa CCM akili sijui huwa zinahama huyu Said Meck Sadick si alikuwa Mkuu wa Mkoa cheo chenye thamani sawa na Waziri akaacha mwenyewe sasa leo anaenda kugombania uenyekit wa CCM mkoa
Mkuu kiitifaki Mwenyekiti wa CCM mkoa ni mkubwa kuliko RC
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom