Kwa hiki nilichokiona jana Kinondoni, Mtulia tafuta suti tu ya kuapishiwa

Binafsi Sinaga Chama Chochote hapa Tanzania, Ila nawashauri wana CHADEMA na vyama vyengine Wavunje hii inayoitwa mfumo wa vyama vingi maana akuna jipya, kila siku Vurugu, kuuwana, kutekwa na visa chunguzima vya kusikitisha , Ukiuliza CCM aitaki kukoselewa na kuweka Demokrasia ya usawa na haki..
 
ccm bila wizi, hila,na udanganyifu wa kutumia polisi kamwe hawawezi kushinda hata kama CDM wangesimamisha jiwe.
Sio kweli...wengine tumeipenda chadema kwa miaka mingi lakini kwa ukweli kwa sasa mmepoteza mwelekeo na hamuaminiki..wasanii flani hivi
 
Back
Top Bottom