Recent content by mtuwewe

  1. mtuwewe

    Naomba kuuliza matumizi ya gari ya kawaida kuhusu mafuta per day

    Humu ndani kwa watu hawajitambui kwa kweli ,matumizi ya gari ni ww unavoitumia ndio matumizi ako
  2. mtuwewe

    Nataka kuja Dar es Salaam, wajuzi wa maeneo nisaidie

    Nitumie CV yako haraka,Mimi ni HR Bank moja hapa Tanzania . Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mtuwewe

    Kufukuzia hadi kusafiria penzi

    Duh wewe mtoto noma kwa kuwafata wanaume,juzi umenifata Mimi Tunduma ndio maana nilikuacha nilijisi wewe ni Malaya sn Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mtuwewe

    Niagize mimi gari lako, nitakuletea kwa bei nafuu kabisa

    Sawa nimekuelew,Nipe makadirio ya TOYOTA VOLTZ ya mwaka 2004 ,Yenye kilometre chini ya 100KM na 4wheel inaweza kufinga kwa tsh ngapi? Kama upo serious tufanye biashara mkuu Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
  5. mtuwewe

    Natafuta fundi wa Nissan wingroad

    Mcheki huyu jamaa ni mwisho wa mtatizo ya Nissan 0654486523 Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
  6. mtuwewe

    Niagize mimi gari lako, nitakuletea kwa bei nafuu kabisa

    Hebu nipe tofauti kati ya kuagiza gari kupitia kampuni kama BE FOWARD au STB japani na kupia kwako Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
  7. mtuwewe

    Msaada kwa anayejua vizuri na gari aina ya Toyota caldina

    Nikucheki ili iweje wewe nipe ushauri kama unao
  8. mtuwewe

    Msaada kwa anayejua vizuri na gari aina ya Toyota caldina

    Ya mwaka 2003 na kuendele yenye gia box kama ya progress
  9. mtuwewe

    Msaada kwa anayejua vizuri na gari aina ya Toyota caldina

    Habari wana jf, Kama kichwa cha habali kinavojieleza hapo juu,naomba msaada kwa anayejua vizuri hiyo gari uzuri na mapungufu au changamoto zake kwani nimeipenda nataka kuagiza japani kupitia BEFOWARD ,Najua humu kupitia hapa nitapata ushauri mzuri kwani sina ndg au rafiki aliyewahi miliki gari...
Back
Top Bottom