Recent content by mtuwaShiratiObwere

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Deo Mwanyika achukua Fomu ya Kugombea Ubunge kwa awamu ya Pili Jimbo la Njombe Mjini

    Hapana huyu alisona shuke ya wamisionari Tanga
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Biashara ya club

    Ebwanawe kivipi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Biashara ya club

    Nimepata eneo nzuri jirani na barabara ya Dodoma. ukarabati utachukua kariba m8. Kuna eneo ĺa baa, jiko, chips, store na kwa kukaa hadi 100 wanakaa. Kodi lak7 je nauliza waziefu itajilipa au nitapoteza hela
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kiume

    Inawezekana akawa dumejike
  5. M

    JamiiForums Tanzania DART: Mwisho wa Tiketi za Karatasi kwenye Mabasi ya Mwendokasi ni Juni 30, 2025

    Hizo za 1000 unasafiria siku zote sasa au sio mbona taarifa haikakamilika
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Pambalu, Twaha Mwaipaya, Lucas Ngoto na wanachama kadhaa wa CHADEMA wapigwa na Polisi na kutupwa Bagamoyo

    Wamebaki wao tu kina swap, and siju Angola, Zimbabwe wote cha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu atuhumiwa na nduguze kudhulumu mirathi

    Msaada mwenye namba yake natafuta Jambo langu ccm
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hii pisi mazee ni hatari

    Vijana wa hovyo haha 😂 Fauziya omba transfer wanakufuata
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumdhuru mtu (kumuua, kumpiga nk) kwa sababu anashiriki ngono na mkeo hali ya kuwa mkeo ameridhia ni matumizi mabaya ya akili

    Kwa Tanzania yetu hii akili itachelewa sana imagine tunasema mke wa mtu sumu....saaa mke wangu karidhia hajabakwa nashuughulikia mtombaji afy naja nyumbani kugonga cheers na mke? Ndivyo upend wetu utanoga? Mi sielewi mura
  10. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Miaka 25 ijayo Serikali itajenga Uchumi wa $700bn Tanzania itakuwa karibu marambili ya Africa ya Kusini

    Tutafikaje wakati Simbachawene ansema 60% ya watumishi wanalipwa lakini hawafanyi kazi
Back
Top Bottom