Ataletaje picha wakati kaleta thread mwenyewe?! Unaweza kuamini kuwa mpita njia anaweza kumtazama mtu na kutambua kuwa mhusika ana urefu wa cm 180 - 190? Hiyo kitu haipo.Sasa sisi tutaamini vp bila picha...!!!
Ungepiga kapicha jamaa

Acha kabisa mastaaHahaha kinondoni ndo mambo yake hayo
Embu weka picha tuone kama jamaa anayosema ni ya kweliAisee hebu acha kumtamani mke wangu namna hii juma mpemba
Wazi kivipi? Wanawake wenyewe ni hawa hawa tu tunanyang'anyana tu. Kama umeona pisi kali hivyo. Halafu yuko Bank ujue tu utakutana na manyoyaumekosea sana kuweka details wazi namna hii aisee
Sasa linavotembea nikajisemea tu hivi waliokaa kamati ya kutuchoma moto kwa kuvunja amri ya sita waliyaona haya jamani..!!

Nipe hela, nikufanyie mafekeche hapoo.
Leo nimeshindwa kesho namuibukiaNipe hela, nikufanyie mafekeche hapoo.
😂😂😂😂😂
Ile ile ya mwanzo.Leo nimeshindwa kesho namuibukia
Tuma namba
PoaIle ile ya mwanzo.
Sawaa
Vijana wa hovyo haha 😂 Fauziya omba transfer wanakufuataAnaitwa Fauzia. Yea ni teller hapo.
Digits zake ninazo nikijifanya nataka mkopo kuna siku alikua Enquiries.