Recent content by Mtutuwandei

  1. M

    JamiiForums Tanzania Aulizaye ataka kujua. Nielewesheni

    SUK ni ulaghai umefanywa na watawala kupunguza joto la kisiasa Zanzibar lakini ikihakikishwa kuwa CCM haitoki madarakani. Kila baada ya miaka mitano kuna kiini macho cha uchaguzi ambao matokeo yake yashaamuliwa kabla. Bila mabadiliko bara wapinzani Zanzibar wataendelea kuburuzwa tu. CCM...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Aulizaye ataka kujua. Nielewesheni

    Hana mamlaka hata ya kumuagiza sheha.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Aulizaye ataka kujua. Nielewesheni

    Ni kula mshahara tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mapambano kati ya Polisi na wananchi Tunduru

    Halafu mbona uzi ule umepotea kimya kimya.
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

    Kabisa. Ni kama Royal family.
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

    Fatma bibi ni mke wa Abeid Amani Karume. Fatma mjukuu ni mtoto wa Amani Abeid Amani Karume. Babu yake na baba yake wote walikuwa maraisi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

    Mtu na mjukuu wake.
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

    Chotara wa kihindi. Baba muhindi. Mama sina hakika kama muarabu au mswahili.
  9. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

    Fatma Gulamhussein Jamal
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aliko Dangote asema kupata mtoto wa kiume sio kipaumbele chake

    Wivu tu wa kiswahili kwa mafanikio yake.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Mshauri OMO kuwa Pragmatist,Acheni Ujinga Pelekeni Majina ya SUK, Kususa Hakusaidii KITU

    SUK ni utapeli. Sijui nani kawaroga wapinzani wakadhani CCM iko tayari kwa demokrasia ya kweli. 2030 kilio kitakuwa ni kile kile.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nani kununua kesi ya Uhaini ya TAL

    Umepatia.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lissu ataka kukutana na Mashahidi wake watatu kabla ya kuendelea na kesi

    Hao ni hostile witnesses. Wanaweza kuitwa mahakamani kwa summons. Je wanaweza kulazimishwa kukutana na Lissu?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tunafuta ndugu zake

    Washirikiane na NIDA kama amepata usajili wanaweza kupata jina lake kwa kutumia fingerprints.
Back
Top Bottom