Recent content by mtunzasiri

  1. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwisho wa CHADEMA, endapo hazitachukuliwa hatua za haraka basi chama kitasambaratika

    Bado mko busy kutetea vyeo na chama la mbogamboga mnasahau Kuna taifa na watu hakika siku mkijua mshakuwa uchi weupe kama karatasi
  2. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Matukio ng'amuzi kwa mwaka huu wa uchaguzi 2025.

    Tafakari,, Mwaka huu wa uchaguzi 2025 una migogoro mingi hatarishi kuliko miaka yote- 1). Kuna mgomo baridi ya kimichezo kutokucheza na wanaenda mbele wanatishia kuandamana, kati ya YANGA UPANDE MMOJA na bodi ya ligi, TFF kwa pamoja Kwa upande mwingine, ukiangalia utasema ni suala la michezo tuu...
  3. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Cartoon ya The Simpsons na utabiri wa 2024

    Promo LA bure
  4. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

    Hii dharau chama langu litaijibu kwa vitendo leo Medeama lazima afe Young Africans 5-0 Medeama [emoji617][emoji617][emoji617][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
  5. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

    Mbona mimi tajiri na sio mafia
  6. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania 2025-2030 Tanzania kufanikiwa kufika nchi ya ahadi chini ya Rais Samia. Naiona Tanzania mpya

    Porojo zote zisenwe bila katiba mpya haitakuwa na maana yoyote
  7. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Yanayosemwa huko Algeria kuhusu tuhuma za kufix mechi ya Tanzania vs Algeria

    Ngoja tutinge robi fainali huko afcon kwenyewe ndo watakuwa na adabu na soka la Tanzania [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
  8. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

    Desi sijaiona hapo
  9. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye kaliba ya "Kimagufuli" tumpe nchi 2025?

    Umefika wakati tujadili kuhusu chama mbadala maana watu kwenye taasisi yetu ya urais hawajaleta tija tarajiwa nadhani tukibadili chama tunaweza kupata mtanzania mwenye sifa stahiki
  10. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 kuhusu maisha

    Hawa wa hivi[emoji867][emoji867] ndio huishi zaidi kwakuwa hawana mambo mengi maishani mwao, na hivyo wanafurahia maisha kwa ukomo wake.
  11. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Ile vita nyingine ya dunia inaenda kuanzia Afrika

    Baada ya mapinduzi ya kijeshi huko Niger AFRICA magharibi hali ya hewa imechafuka Ulaya na America, hakukaliki tena Muda wowote ww3 itaanza, kisa ni vita ya kiuchumi na ubabe wa America vs Urusi & China. Na huenda vita ya Ukrein vs Urusi isiwe na maana yoyote tena na itahamia rasmi Afrika...
  12. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mazinge ukiona mtu mwanasiasa anamtukana Rais Samia basi ujue kachanganyikiwa

    Kwakweli niwe mkweli nashindwa namna nzuri ya kumkosoa mama japokuwa hatujafika nchi ya ahadi ila kuna ahueni kubwa sana hata hii mikutano mingi ya kisiasa ni sehemu ya ahueni. Wanaokosoa wanazungumzia kuhusu banda, lakini niliposikia aliyekuwa anasimamia tics kukiri kukubali uwekezaji mpya wa...
  13. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo acha kuchukia juu ya ukweli anaousema Lissu, hayati JPM asingefanya huu uozo. Muache aende Chato kueleza ukweli

    Wewe Kiranga una hoja ila bado Lissu ana hoja yake hebu tuliza munkari wa vurumai za Magu afu fikiri kama mtu huru palipo kweli iwe kweli tuu na si vinginevyo
  14. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dili la Mayele kwenda Pyramid lina asilimia kubwa ya kubuma, huenda akaungana na Feitoto Azam

    Mhh[emoji848][emoji848][emoji848]
  15. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Updates ya kesi ya bandari majibu ya Mawakili wa Serikali na Mawakili wa Walalamikaji 27th July 2023

    Ndo maana kila siku inasisitizwa mpige kura zenu kwa watu sahihi lakini watz kwa uzoefu wangu hupigia kura chama hata kama mgombea husika ni kipofu wa macho na akili, matokeo yake ndo haya sasa.
Back
Top Bottom