Recent content by Mtumwa baniani

 1. M

  Alie na latest version ya Premiere Pro, naihitaji

  Shukrani Mkuu, ngoja Nijaribu kudownload.
 2. M

  Alie na latest version ya Premiere Pro, naihitaji

  Habari gani wakuu? Kama kichwa kinavyojieleza, naihitaji hiyo program mapema sana, kwa alie nayo naiomba. Nitalipia
 3. M

  Mfasiri mmoja wa Kiingereza/Kiswahili anatakiwa.

  Kazi hii ni ya mkataba wa mwezi mmoja ambao unaweza kuongezwa. Mfasiri/mkalimani huyo, anatakiwa kuwa na sifa ya uelewa mzuri wa lugha zote mbili, alie na uwezo wa kufasiri kwa kasi na ufasaha mazungumzo ya papo kwa papo na hata yale ya sauti katika picha za video. Awe na ufahamu wa matumizi ya...
 4. M

  Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza

  Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza: Bangala, Kizigula na Mai Mai. Walio na uwezo huo,tafadhali karibuni inbox. Asanteni.
 5. M

  Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza

  Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza: Bangala, Kizigula na Mai Mai. Walio na uwezo huo tafadhali waje inbox. Asanteni.
 6. M

 7. M

  Huduma za translations/kuandikiwa vitabu hapa

  Nahitaji mtu creative ambae anaweza kudesign hasa covers za vitabu, kufanya page setting nzuri na mtu mwenye ideas nzuri za kibunifu katika eneo hilo.
 8. M

  Huduma za translations/kuandikiwa vitabu hapa

  Kwa sasa tunahitaji graphics Designer,alie na ujuzi aje PM.
 9. M

  Huduma za translations/kuandikiwa vitabu hapa

  Tukihitaji wataalam katika maeneo hayo tutakujulisha maana kwa sasa tumekamilika.
 10. M

  Huduma za translations/kuandikiwa vitabu hapa

  Jamani,bado huduma hizi zipo. Karibuni na hamtajutia.
 11. M

  Mfasiri anaeweza kufasiri Kutoka Kiingereza kwenda Kifaransa na Kinyarwanda.

  Tafadhali alie na uwezo huo, mwenye kufanya kazi kwa uangalifu kwa kuzingatia kanuni za ufasiri, ani pm.
 12. M

  Wafugaji, Watotoleshaji na Wauzaji wa kuku na samaki mnaombwa kuleta matangazo ya biashara zenu

  Habari gani wakuu? Napenda kuwataarifu kuwa tumeandaa chapisho tunalotegemea kuliingiza mitamboni ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na ufugaji wa Kuku na samaki. Kutokana na machapisho yetu kusomwa na watu wengi hapa Tanzania na katika nchi za Afrika Mashariki pamoja na mwamko wa watu...
 13. M

  Wafasiri wa Kiingereza kwenda Kiswahili na Kiarabu kwenda Kiswahili na Kiingereza wanahitajika

  Wenye taaluma hiyo walio na uzoefu wa kutosha wanahitajika haraka. PM taarifa zako pamoja na mawasiliano yako.
Top Bottom