Mbura Zakaria Chiragwire ni graduate wa Electronics Science and Communications. Hii degree program haikuwa CoET bali ilikuwa FIVE wakati huo akiwa anasoma. Alipata kugombea uraisi wa DARUSO na akashika nafasi ya pili. Sio Engineer kwa maana degree yake sio ya Engineering (Hardware or Software)...
Wakati watu wengi walipokuwa wanajaribu kutoa maoni yao kuhusu namna bora ya kuwaendea wananchi, waliishia kubezwa na kuonekana hawafai na pengine kuambiwa waende CCM! Wengine walitahadharisha kuwa wakati wa kupiga kura, mtawahitaji na hao mliokuwa mnawabeza, lakini wapi! Asanteni watanzania...
Tulitarajia hao wabunge waliobaini na kuikwamisha hiyo agenda wasimame majukwaani kama ilivyo ada watutangazie umma kuwa kuna ufisadi ulikusudiwa kufanywa na hivyo wameubaini na wanaomba nguvu ya UMMA kuandamana kulipinga hili. Kukaa kwao kimya mpaka tunapata info kupitia source zingine kunaweka...
Kwa TUNDU LISSU nakuunga mkono. Mimi ni mpiga kura wa jimbo la Singida Mashariki, kiukweli TUNDU LISSU akirudi tena bungeni kupitia jimbo hilo basi itakuwa ni moja ya maajabu 8 ya dunia. Hana msaada wowote kwa jimbo, ziara zake zinaishia makao makuu ya jimbo (alipozaliwa, Ikungi) tu. Hata sisi...
Tatizo watu tunaendeshwa na Emotions badala ya reality. Soma utetezi wake ambao ndo uliompeleka mahakamani. Katiba ya CHADEMA imebanangwa na wanaopaswa kuisimamia na kuilinda
Kwani LEMA naye si mbunge? Kwanini asifanye uchunguzi wa utoroshwaji huo wa pesa? Anataka kudandia hoja tu, kutaja tu majina sio kuchukua hatua. Kwani mafisadi 11 wamechukuliwa hatua gani? ZZK anataka kufanya procedural follow up na sio kuhubiri jukwaani tu
Tatizo la kudandia hoja. Hizo tuhuma unazosema ZZK azijibu CHADEMA kupitia kwa JOhn Mnyika walizikanusha kuwa siyo za Chadema. Sasa amjibu nani? Pevuka Kisiasa acha mkumbo utapotea
Hizo Listi mnazozitaja, ni kutokana na maamuzi ya wapiga kura wa maeneo husika au kwa hisia zenu? Siasa hazipo hivyo, kuweni wakweli. Shibuda labda asiamue kugombea, lakini wasukuma lazima wamchague
Dada Zahra White,
unaonekana ni mtu wa mjini wewe, bila shaka hukufunga ndoa kabla ya "kuonjana". Na bila shaka uliridhika na nguvu yake alipokuwa anaishia ndo maana ukaamua kuolewa nae. Kama hukuridhika nae na ukajilazimisha kuolewa nae basi hilo ni kosa la kiufundi ulilolifanya na kamwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.