Unahasira na wenyeji wa mkoa wa Dodoma jipige kifua mara tatu sema Mungu nitoe kwenye dhambi ya wivu miji yote Iko poa kutegemea issues zako tu kuna mbeya humtoi hata kwa greda na kuna myakyusa Dom humtoi hata kwa Nini offcource umeongea veper tu
Pumba tupu akamuulize Idd Amini alipotaka kuchukua tarafa Moja tu ya Missenyi Nini kilimtokea we are silenci ila wanatujua hatuna maneno ya kanga eti kuimarika uchumi wa Rwanda ! angalia GDP yao afu uje uongee huu utopia
Wakuu Mimi ni Kijana Mtanzania ninajishughurisha na kilimo cha mazao ya biashara siku za karibuni nimejikuta nanunua MBEGU Toka kampuni za ndani kigeni kama Toka India , Ufaransa , nk zina ubora ila baadhi ya MBEGU zinazozalishwa hapa nchini na kampuni za ndani nyingi hazina ubora .
Hivyo...
Bahati mbaya umeshaoa kwa amabao bado siwashauri kuoa familia masikini ,mi nilikuwa kwenye ndoa na nilioa familia fukara mwanzo tulienda nao sawa niliwapiga sana kampani sana ila walipotoka tu kimaisha walinibwaga sikuamini ila nilimwachia Mungu tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.