Recent content by mtumishi 2021

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

    Kesi ya jinai haishi wakizigua wanarudi ndani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali, wapo wageni wenye passport ya Tanzania. Wachukulieni hatua; nchi hii ni mali ya Watanzania

    Uhamiaji wawi macho sana, lakn vilevile suala uraia pacha liangaliwe kama halina madhara kiusalama ili kuongeza mapato kwa walioko nje
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maswali yanayohusu kabila na dini kwenye vyombo vya dola yanaashiria ubaguzi

    Maswali unapoenda polisi una shida labda umepoteza vitambulisho au shida nyingine tu, unaulizwa eti kabila gani, dini gani maswali hayo ameyatilia shaka kuwa yana viashiria vya ubaguzi. Hata Mimi sioni kama yana tija badala yake naona wangehoji eneo analotoka mteja wao ili kuweka takwimu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Raisi wetu Mama Samia Mtumbue Ally Hapi kabla hujamuapisha

    Watanzania tunakoelekea sasa nahisi si pazuri, kama kila kiongozi atakaye kosea kidogo tu, ni kupigia petition, hii roho ya uhalibifu si ya kijenga. Mh Hapi ni kijana tumpe muda Kwanza, kama binadam kukosea kupo lakn si hukumu ya kumdemoti, maana sioni shida yake ni kiongozi anayeshirikisha ktk...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tumeacha kujadili 'Budget' tumepewa Chalamila tumjadili

    Kodii ya SIM Card kwa mwaka itakuwa Kati ya elfu 36000/na 72000/ hii ni hatari jamani wabunge waliangalie hili, Tz tunavyonzo vya mapato vingi hii waachane nalo kbs Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

    Nimemfatilia huyu bwana mdogo anafanyakazi smart sana, nafikiri he is mature now
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimempima UKIMWI nikakuta anao

    Hivi vipimo vya ant genen mara muiongoze vinasoma wrong hasa ukiwa na magonjwa ya virus kama mafua hivyo mwambie asante check up zaidi Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ahsante Magufuli kwa Hili hatutokusahau Wazanzibar

    Yalikuwa maombi yangu kwamba baada JPM kabla ya kutwaliwa, mwaka 2025 awe Mwinyi junior lakini sasa naona Mama na yeye amekuja vzr
  9. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi apinga hoja ya Chato kuwa mkoa. Ataka Rais Samia asishinikizwe bali ashauriwe vizuri

    Napendekeza Masasi uwe mkoa, mkao makuu yawe Lupaso kumuenzi hayati Ben
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akitupatia Katiba Mpya, awe Mama wa Taifa

    Kweli, hata kwenye ngao ya Taifa kana bwana na bibi hivyo kama kuna baba wa Taifa kuna Mama wa Taifa pia.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, suala la Machinga kuwa nalo makini. Usije ukajichanganya

    Awaweke maeneo rafiki badala kurundikana barabara, kitu hatari sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dar kuna Watu wanajaribu kupima kina cha maji, viujambazi ujambazi na uporaji vimeanza kuja juu

    Wasaidizi Mama wamwambie awe na account huku jf
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

    Kuteua kutoka pande zote kutaondoa radha ya upinzani Tz[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya awamu ya Sita: Hotuba za mama zinapokonga nyoyo za watu

    Tangu siku ya Kwanza alipotoa hotuba yake niliona hekima na busara ya kiuongozi ndani yake, kama wasaidizi wake hatamwangusha taifa hili litafika mkali kimaendeleo, na nchi haitakuwa ya mwisho tena ktk nchi zenye furaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom