Recent content by Mtumishi 19

  1. Mtumishi 19

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Baadhi tupunguze "Ujuaji" Usio na "Tija"

    Watu kama ninyi mnalazisha tuwatukane yani! Wewe ni sehemu ya mashetani tu
  2. Mtumishi 19

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiapo cha damu na aliyekuwa mpenzi wangu kinanitesa, sijui hata nifanyaje kujinasua na maagano

    Kinachokutesa wala sio kiapo. Ni hiyo Imani yako juu ya hicho kiapo. Badilisha unavyoamini hasa mtazamo wako. Maana kama kingekuwa na nguvu, kingewashikilia msingeachana.
  3. Mtumishi 19

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Trauma ya Maisha: Nilimkuta Dada Yangu Akiinamishwa na Msela, Mpaka leo sitaki kwenda kwake

    Sema na wewe una kihere-here😀😀 me ningekutandika makofi kwanza
  4. Mtumishi 19

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna faida nyingi kiuchumi kwa mwanaume kuchepuka

    Ndugu natafuta ajira unataka kusemaje yani! Wewe faida ya kuchepuka unayopata ni ipi?
  5. Mtumishi 19

    JamiiForums Tanzania Wanawake aibu haipo tena? Wafanyakazi wote tunajua anaishi na mme wa mtu huku lakini amechumbiwa anatuomba ufadhiri wa Send off yake!

    Au jamaa kasha achana na wife matirio wake huko! You never know
  6. Mtumishi 19

    JamiiForums Tanzania Je, ni utaratibu gani wa kufungua biashara ndogo-ndogo chini ya 5M?

    Pale Halmashauri unapaswa uende na nini hasa?
  7. Mtumishi 19

    JamiiForums Tanzania US yaionya Vatcan: Marekani ina uwezo wa kijeshi wa kutenda inavyotaka

    Ndugu hii habari umeitoa ukanda wa gaza au😀
  8. Mtumishi 19

    JamiiForums Tanzania Je, ni utaratibu gani wa kufungua biashara ndogo-ndogo chini ya 5M?

    Ndugu zangu habarini za wakati huu. Naomba mwenye kujua taratibu za kufungua biashara yoyote ndogo-ndogo anifahamishe hataua kwa hafua kwa mjibu wa sheria.
  9. Mtumishi 19

    JamiiForums Tanzania Nimekaa nimeitafakari sana ile picha ya sayari yetu Dunia iliyopigwa na NASA imenifunza mengi

    Hiyo mipaka ipo tangu enzi za uumbaji. Na pamoja kwamba Dunia iko hivyo, ni muhimu mipaka kuwepo na kulindwa pia
  10. Mtumishi 19

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Snoop Doggy: Kama ni Mwanaume na una Uwezo wa kumwacha Mke wako Nyumbani na wewe utafute hela, basi Fanya hivyo

    Siku zote mwanamke ni mrahisi mnoo Biblia ilisha taja jinsi walivyo wadhaifu! Yaani mambo yao yamkaa kihisia-hisia(mihemko) hawanaga logic hao. Kwa hiyo kumpeleka huko makazini kwa kweli hupaswi kulaumu ni sawa sawa upeleke bidhaa nzuri sokoni.
  11. Mtumishi 19

    JamiiForums Tanzania Nataka nikusanye kiasi cha million 25, nitumie mbinu gani?

    Unaihitaji kwa mda gani boss
  12. Mtumishi 19

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Snoop Doggy: Kama ni Mwanaume na una Uwezo wa kumwacha Mke wako Nyumbani na wewe utafute hela, basi Fanya hivyo

    Kwa kweli mi namuunga mkono kwa asilimia zote
  13. Mtumishi 19

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba

    Sema hii itakuwa sio poa maana kule zile kamati za siri za wafanya doria la mtandaoni😀😀
  14. Mtumishi 19

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba

    Hiyo ni zamani ya kale😀😀 Kwa sasa ni bando lako tu..... na hapa nikikosa mimi huyoooo Tinder inanihusu
  15. Mtumishi 19

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba

    Ukorofi huo 😀😀 hii si sawa sasa....
Back
Top Bottom