Nchi haiongozwi kwa visasi.kama hukujui kuongoza achia ngazi. Visa vya kijanga haijengi viwanda.Manji tafuta sehmu nyingine uwekeze achana na walioshindwq kuongoza kweupe.madawa ya kulevya ilimuwa njia tu.
Kwa haya matokeo niliyategemea kabisa.mmi kama mdau wa Elimu kuna mambo yamechangia has kwa Mkoa wa Dsm.Tumeacha utaratibu wa watanzania,tumezoea mgemi akija tuongeza bajeti ya chakula pamoja n vipimo vya maji kwa ajili ya ugali.sasa lkn mpk elimu bure ianze tunajivunia ongezeko la wanafunzi la...
Sasa hivi kuna shida kubwa sana hata secondari.form ni wengi sana : mfano kuna shule ina form 680 na nyingine 480 form two 320 form 3: 290 form 4 :260 mwalimu wa phys ni 1 hapa kz tu
Pamoja na yote ni kitendo cha rais kusema wakulima wauze mahindi bei wanayotaka siyo ya kingwana hata kidogo.kipindi cha sukari walitoa beu elekezi inamaana walikulima wa sukari ni wajinga au wao hawataki faida??,au sukari ndiyo unatumiwa na watu weng kulko unga???, Rais ajitathmini kama anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.