Recent content by mtumakin

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Naomben no yenu tafadhal.ni kwa haraka
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tajirika kwa kufuga kuku Weusi wa Malawi wanaofaa kwa kutaga na nyama

    No ya cm please ,tafadhal nahitaji
  3. M

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Jamani member wa jf nina milioni mbili nataka kuziingoza kwenye kilimo cha mpunga vipi kwa wenye uzoefu naweza kutoka!
  4. M

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Jamani nisaidien mawazo nina milioni mbili nataka kuziingiza kwenye kilimo cha mpunga wenye uzoefu jamani naweza kutoka!
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimesahau wallet

    We ndo shemless
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimesahau wallet

    Tena ingekuwa mimi ningemshushia polisi niseme mwizi,inahusuhu mwaume kusahau wallet! Mtakula kwa jasho na sisi tutazaa kwa uchungu.mkomeeee nyie wanaume suruali shenz type
  7. M

    JamiiForums Tanzania nahitaji mkopo wa haraka 2m

    Gari ya aina gani!
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana mwenye wivu aamua kuogesha dushelele ya mpenzi wake

    Huyo kiboko, kuna watu wamejaliwa roho ya chuma
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi duniani kungekuwa na jinsia moja tuu ingekuaje!

    Naomaba kuuliza jaman kungekuwa na wanaume peke yake au wanawake peke yake dunian si pangekuwaaje!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeijua dodoma tafadhali.

    Nimehamia dodoma kimaisha ,nataka kufuga kuku nataka kujua ni kuku gani wenye soko dodoma kati ya mayai na wanyama.natangululiza shukran.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanamme aliyeoa anaweza kutokufanya sex kwa miezi mitatu!

    Hawajagomba,system ya maisha yao ni kama kawaida kama zamani ila tatizo ndo hilo.na pia si mgonjwa Mtu8
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanamme aliyeoa anaweza kutokufanya sex kwa miezi mitatu!

    Natumaini nyote ni wazima.kuna mdada mwenye ndoa yake kaniuliza hilo swali nashindwa nimjib vp jaman tumsaidie.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wake amezimia mara mbili toka asubuhi, sababu amembwambia kama mimba haitapatikana , ndoa ak

    Maajab hayaishi jaman,na kama yeye me ndo anamatatizo jee! Ningekuwa mimi huyo dada ningezaa na rafiki yake ndo angetia adabu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela atoka hospitalini

    Hatimaye nelson mandela atoka hospitalin,mungu aampe maisha marefu .chanzo cha habari:bbc swahili
Back
Top Bottom