Recent content by mtulanzela

  1. M

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Safi sana lissu enndelea jeshi la wachache kama milion moja
  2. M

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Jamani tumwombeeni ufo apone haraka
  3. M

    Kanuni inasemaje: Waziri mkuu au Kiongozi wa Upinzani asimamapo bungeni?

    nafikiri huyu bwana hafahamu sheria, kama pinda anaweza kusimama na akapewa nafasi kwanini wapinzania
  4. M

    Baf ya st john na baf ya mzumbe ipi kali?

    zote baf, ila kama wewe ni mbulala hata kama ukienda havard
  5. M

    Darasa la saba waliopata maksi 60 nao kubebwa kwenda sekondari - Agizo la Kikwete

    unazani mshahara wa mwalimu graduate 437000. na diploma 335000, hii ni utani na watoto wataendelea kufeli mpaka kikwete. arudi mezani na walimu na kuwajari kama na wenyewe ni wafanyakazi
  6. M

    Darasa la saba waliopata maksi 60 nao kubebwa kwenda sekondari - Agizo la Kikwete

    wacha wafelimpaka kikwete afute kauli, ya kwamba mgomo wa walimu hauna athari
  7. M

    Fastjet waleta ndege mpya

    jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni...
  8. M

    congo

    jamani halahala wakongo huu si muda wa kupigana, tafuteni amani
Back
Top Bottom