Dah.... hatari sana kama msomi unakuwa na majibu kama haya.. mimi nimemeliza baf ya muccobs niko bank kuu (BOT) then my frend nimemeliza nae kabahatika umoja wa mataifa,,,unamaanisha baf ya muccobs ndo nzur>then student wengi wa darasa langu wameajiriwa TRA..... ninach dhani hakuna baf nzuri zaid ya kujituma kwa bidii, maana yeyote alie graduate baf kwa kiwango kizuri chuo chochote anaweza kupata kazi sehem yeyote ilimradi chuo kitambulike na serikali. Achen mawazo ya zamani...tubadilike...tubadilike.. dogo ulie leta mada, sehem yeyote utakayo pata soma kwa bidii,,,sikuhizi waajiri hawaangalii umemaliza wapi,,,wanaangalia uwezo wako kwa kile ulichosomea. hawaajiri chuo mdogo wangu.weh acha ubishi wako..baf ya mzumbe iko vizur mimi mwenyewe nimemaliza pale mwaka jana na sasa nafanya kazi wizara ya fedha!!!
Hakuna BAF kali kati ya hizo,isipokuwa aliyesoma popote kati ya hivyo vyuo ndiyo anaweza kuwa mkali au la kutegemeana na uelewa wake na bidii yake katika masomo.Not everything can be generalized.Ubora wa elimu siyo chuo,ni bidii ya mtu as an individual ktk kuelewa mambo hasa katika ulimwengu huu ambapo resources ni nyingi na zinapatikana kirahisi.If you can read ,you can learn anything.
weh acha ubishi wako..baf ya mzumbe iko vizur mimi mwenyewe nimemaliza pale mwaka jana na sasa nafanya kazi wizara ya fedha!!!