Recent content by MtuHabari

  1. MtuHabari

    Manispaa ya Ilemela mnataka maafa ya vifo vya Watoto kama Arusha barabara ya Pasiansi - Kiseke?

    Kuna hii barabara ambayo inatokea Pasiansi sokoni kupitia Taqwa Sekodari Lumala kwenda Kiseke yenye urefu usiozidi km 1.5 lakini muhimu sana kwa matumizi maana ni eneo lenye wakazi wengi. Barabara imeharibika sana na ina msongamano mkubwa wa magari hasa mabasi ya wanafunzi ambayo yanawahisha...
  2. MtuHabari

    PreGE2025 Je, wabunge watakaoshinda kupitia CHADEMA 2025 watagomea mshahara wa Milioni 18 kwa mwezi?

    Unaona wivu na kutaka uwe wewe! Utashika ukuta ndugu yangu kwa hizo tamaa zako
  3. MtuHabari

    Kwa kikotoo kile hakuna siku utalipwa mafao yote

    Hivi hesabu hizi zinawagusa Wanajeshi na polisi? Kisha wako kimya tuu wanangoja wakastaafu na kurudi kijijini au kuishi mjini na kuwa night watchmen wa vibaka wa CCM? HILI LIMBWATA SIJUI WALILITOA WAPI HAWA CCM!
  4. MtuHabari

    Mtwara: Msimamizi wa Uchaguzi mdogo kata ya Chipuputa akamatwa na kura feki, Polisi wamlinda

    Halafu hao hao ACT wakamshangilia utadhani Yanga kamfunga Mamelod! Nchi hii imefika wakati Mabakamabaka wachukue dhamana kwa miezi 6 tuu kisha tuanze upya kama Ghana ya wakati wa Jerry Rawlings.
  5. MtuHabari

    NMB BANK: Mikopo yenu kwa wastaafu haina tofauti na ile ya kausha damu

    Bank ya makabwela ambayo wastaafu hasa wale wa zamani serikalini walilazimika pension zao kulipiwa katika bank hiyo inawaumiza sana watumishi hao wastaafu kwa kuwanyonya kupitia mikopo yao ambayo wameitengeneza kwa mfumo wa ile Kausha damu ya mitaani. Bila huruma kwa wazee hao ambao wanapokea...
  6. MtuHabari

    Makonda, wanakutumia kuelekea 2025. Wakizingua gombea mwenyewe

    Tatizo la masikini na wajinga ni kudhani kiongozi akifokewa hadharani au kukashifiwa ndio utatuzi wa kero zao. Sio kweli, eti we mkuu wa mkoa jibu hili! Afisa ardhi kwanini kiwanja kile hakupewa yule na kadhalika kama hayo hayana msaada maana ni USANII MTUPU, ona alikopita huyo mwenezi wenu...
  7. MtuHabari

    CCM yagawanyika

    Na hiyo karne kwa CCM imeshafika, mbona hilo liko wazi kabisa?
  8. MtuHabari

    Mshikamano wa Viongozi wa CHADEMA ndio nguzo kuu ya chama chao

    Kwa hiyo ma CAG wote waliokuwa wanapitia hesabu za chama kama za umma na kutoa hati safi ni waongo na sehemu ya ushirika na Mbowe? Sikujua kuwa siku hizi JF imevamiwa kwa kiwango hiki na watu wa aina yako ambao naogopa kuwaita jina lao sahihi "wajinga".
  9. MtuHabari

    Mshikamano wa Viongozi wa CHADEMA ndio nguzo kuu ya chama chao

    Mayalla hata wewe umefikia this level? TOO LOW! Nashindwa kujua hii akili ya aina hii ni matokeo ya Kujiunga kindaki ndaki na CCM au unakunywa sana pombe kupindukia hivyo kuwa mlevi? Hizi sio akili za mwandishi mkongwe na mahiri ambaye pia ni mwanasheria msomi.
  10. MtuHabari

    Mshikamano wa Viongozi wa CHADEMA ndio nguzo kuu ya chama chao

    Stupidity at its highest level. Pale idadi ya watu wenye fikra za aina yako inapoongezeka ndipo taifa hilo linapo fika katika ukingo wa kuelekea kuangamia.
  11. MtuHabari

    Kama Tanzania inataka kuwa neutral katika Gaza Crisis haina maana Sheikh Ponda anapaswa kupelekwa Mahakani

    Habari zilipatikana kuwa yule kijana alikufa. Sasa hatujui ni mapenzi ya Mungu yaani kifo cha kawaida au ilionekana hafai kuendelea kuishi mtu aliyemzabua kelbu Rais mstaafu?
  12. MtuHabari

    Serikali ingeajiri vijana wanaomaliza Ardhi University, migogoro ingepungua zaidi ya nusu

    Ni jambo la ajabu migogoro ya ardhi nchi hii inapoteza idadi kubwa ya raia kwa kuuana na mifarakano. Ardhi ndiyo wizara iliyo na migogoro mingi kwa raia wake kuliko wizara nyingine yeyote na hii inatokana na Halmashauri nyingi kukosa kabisa wataalamu wa Ardhi wa kutosha na hao waliopo kwa...
  13. MtuHabari

    CHADEMA yapasuka vipande vipande kuna uwezekano wa kutoshiriki uchaguzi ujao kwa visingizio dhaifu

    Kamuulize Wassira kauli kama yako alianza kuitoa mwaka gani? Halafu jiulize wewe na Wassira na wenzake mko level moja?
  14. MtuHabari

    Tusijidanganye, lazima ndani ya CCM kutatokea mtifuano

    https://youtu.be/KjjOEeWrH-g?si=0wWx5xKmO4wRtYdv Yapo mambo hayafutiki mioyoni lakini kubwa hasa ni kudhalilika au kunyanyaswa na mtu aliye kuzidi cheo. Makonda alipokuwa RC alimfedhehesha sana na hadharani DC wa Kinondoni wakati huo Daniel Chongolo hadi kumtukana na kiumri Chongolo ni mkubwa...
Back
Top Bottom