Recent content by mtufudenge

  1. mtufudenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muda si mrefu nachakata mbususu, niko zangu lodge

    Kwenye maandalizi tu imeonyesha ni kiasi gani una Shoo mbovu... hapo utamgusa gusa tu afu uanze kusingizia leo hauko Sawa...kwa huo wali na Shoo ya kibabe ni atatapika vyote!
  2. mtufudenge

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Spika za Sony zenye sauti nzuri na mdundo mzito

    Kwa uwezo wa hizi Speakers na mwenye kuzijua wala hana Maongezi. Zilikuwa Sets Nane Model hii. Zote 7 nimeuza 400k bila comments.
  3. mtufudenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado sijafanikiwa kumpata mwenza sahihi

    Kwa vigezo hivyo! Bado unaemhitaji haijui JamiiForums...Anaweza kupatikana kanisani unaposali ila huku utavurugwa tu.
  4. mtufudenge

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Spika za Sony zenye sauti nzuri na mdundo mzito

    NAUZA SPEAKER AINA YA SONY SS-LB 455 Hizi ni SPEAKER ORIGINAL USED zenye nguvu kwa Usikivu mzuri wa sauti na MDUNDO wa nguvu. Zipo SPEAKER Mbili ambazo kila moja ndani ina Speaker Nne. Ina Speaker tatu kwa mbele ambazo ni ya Tweeter, MIDI na Bass na kwa Nyumba kuna Super Woofer Speaker yenye...
  5. mtufudenge

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa DAR wenye uhitaji wa Internet katika kazi zenu kuanzia Ofisini mpaka Nyumbani, suluhisho hili hapa

    Mkuu ukiwa na ya chini ya Laki Unlimited nipo tayari, utanifahamisha tafadhali.
  6. mtufudenge

    JamiiForums Tanzania Mashamba ya kukodi na kununua-Ruvu

    Habarini wajasiriamali wenzangu, naomba kujulishwa kama kuna uwezekano wa kupata shamba la kununua au kukodi-Ruvu . Asanteni kwa msaada wenu.
Back
Top Bottom