Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,696
- 32,273
Mpaka shule zije funguliwa humu kutaandikwa uzi za hovyo kweli.
Badilisha hyo picha yako,maana tumeizoea,angalia mwenzio Tuyeye kabadilisha na anaonekana mrembo mzur.Hadi vyuo vije vifunguliwe tutakoma hakika🤔
Hee mkuu kumbe unafanya vitu humu ili watu wakuone na si kwa ajili yako? Usiwe mtumwa wa mtu/watu, hiyo picha siibadilishi acha nionekane "mrembo mbaya"😒 kama hutaki meza tikiti😀Badilisha hyo picha yako,maana tumeizoea,angalia mwenzio Tuyeye kabadilisha na anaonekana mrembo mzur.
Tabu tupu nakwambia!!Teen aging the daydreaming thoughts...[emoji23]
Nmekuelewa mkuu!!Hee mkuu kumbe unafanya vitu humu ili watu wakuone na si kwa ajili yako? Usiwe mtumwa wa mtu/watu, hiyo picha siibadilishi acha nionekane "mrembo mbaya"😒 kama hutaki meza tikiti😀
Haya mkuu, uko poa lkn?Nmekuelewa mkuu!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shoo yenyewe uliyoiwekea tangazo hapa unakuta ni ya jogoo na tetea lake.