Recent content by Mtuache

  1. Mtuache

    Nauli kutoka Tanzania - Ufaransa 30,000/= Je upo tayari?

    🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake. Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum...
  2. Mtuache

    Mke na mume walitembelea shamba la kilimo. Wakamuona ng'ombe dume akishiriki tendo la ndoa na ng'ombe jike

    Mke na mume walitembelea shamba la kilimo. Wakamuona ng'ombe dume akishiriki tendo na ng'ombe jike. Mke akamuuliza meneja wa shamba: "Mara ngapi ng'ombe dume huingia katika tendo kwa siku?" Meneja akajibu: "Mara 6 au zaidi kwa siku." Mke: akamtazama mumewe na kusema....."umesikia!!!" Kisha...
  3. Mtuache

    Uliwezaje kuacha punyeto?

    Uliwezaje kuacha kupiga punyeto? Ebu tupe njia Ili wahanga na waathirika wa Nyeto wajiokoe na hili janga.
  4. Mtuache

    Haitakaa itokee Afrika ipate Papa Mweusi

    Baadhi yenu mlifikiri hao makadinari wanaweza kupiga kura ya kumchagua Papa kutoka Africa? Kweli kabisa mliruhusu wendawazimu wa fikra uwaongoze kuwaza hivyo? Africa kuwa na papa mweusi hiyo kamwe haitakaa ije kutokea. Hata kama dunia itatupa bonus ya kuishi miaka elf moja. Ukweli ni kwamba...
  5. Mtuache

    Jifunze kitu katika simulizi hii

    Mwanaume mmoja alikuwa anampenda sana mkewe. Walikuwa wamejaaliwa watoto watatu waliokuwa wachangamfu na walifurahia sana maisha. Yule mwanaume alikuwa analipwa mshahara wa wastani ambao usingetosha kukidhi kumpendezesha mkewe na kutunza familia. Kutokana na changamoto za kipato kidogo...
  6. Mtuache

    Jifunze kupitia wanandoa hawa

    "Wanandoa walihamia kwenye nyumba mpya. Asubuhi iliyofuata wakiwa wanapata kifungua kinywa, yule mwanamke akamuona jirani yake akianika nguo nje alizofua. Akasema, "naona kama zile nguo hazijatakata vizuri; huyu jirani hajui kufua vizuri. Inawezekana anahitaji sabuni ya unga yenye nguvu...
  7. Mtuache

    Kagera: Mtoto afariki akiogelea ziwani

    #HABARI Mtoto Rwegasila Jackson (14) mkazi wa wilaya ya Muleba mkoani Kagera anahofiwa kufa maji baada ya kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati akiogelea na wenzake kwenye fukwe za Gymkana Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera. Akizungumza na EATV Agripina Wiston Mkazi wa Buyekela ambaye ni dada...
  8. Mtuache

    Makamu wa Rais Dkt Mpango azindua kituo cha upandikizaji Mimba na Gari la huduma tembezi za Afya

    Hospitali ya Taifa ya Muhimbili iko mbioni kuanza kutoa huduma za upandikizaji mimba kwa mashine maalum (IVF - In vitro Fertilization) Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof Mohamed Janabi akiwa anazungumza na wanahabari Jijini Dodoma akielezea utekelezaji wa...
  9. Mtuache

    Naomba sifa za Wanaume wenye muonekano kama huu

    Kichwa Cha Habari kinajieleza. Tiririka, povu sitaki
  10. Mtuache

    Hivi Dola itaachaje kuadimika kwa mwendo huu

    The fact that wewe pia ni ngozi nyeusi basi wewe pia una upumbavu wa milele. Mpumbavu hutoa hoja ya kipumbavu Nina log out
  11. Mtuache

    Kitu gani kitanizuia kuwa Kama Elon Musk

    Mfumo, hama nchi angalau unaweza kuwa nusu yake.
  12. Mtuache

    Bachela kujipikia ni kupoteza muda na Pesa

    Unapikia gesi au mkaa? Au unanunua tu unga unabwia kama Msukule
  13. Mtuache

    Bachela kujipikia ni kupoteza muda na Pesa

    Kwani hivyo vitu vya ndani vilijileta? Si ulinunua
Back
Top Bottom