Zzk ni mzalendo wa kweli, hakuna mzalendo ktk cdm zaid yake wengi wa wana cdm ni waroho wa madaraka na mafisad wapiga pesa inakuwaje mwemyekit kuuzia chama chake vifaa eti ndo mzabun hii si sawa, enz za nyerere angechapwa bakora akaonyeshe mkewe na watoto wake
Kubenea sio mwandish mzur, wa mambo a siasa, anaeweza kyandika makala ikakaa vyema kama kina jonhson mbwambo, kube anaandikaga uzushi majungu interms of hekaya,ni sawa na vijarida vya udaku
Nnawashangaa sana chadema zzk baada ya uchaguz ndan ya chama kwisha alibak kuwa mwanacham wa kawaida asingekuwa na madhara kwa chama. Hivyo mngeweza kumbakiza na kumdhibit kirahis na chama kingeendelea bila mtikisiko. Hata hivyo namsifu zzk kwa sasa yeye ni mwenye nyumba maana alipokuwa cdm...
Pamoja na pengo kumsamehe, mimi nataka kuwashawish vijana wa kikatolik toka parokia yetu tuandamane hadi tanganyika packers siku ya pasaka ili gwajina atueleze kilchomfanya amtukane mtu mzima matus ya nguon namna ile
Lisu ana mihemuko. Na malez yake utoton yalikuwa kama kibaka tu, na yy alikuwa anajua hamwez zzk kwa hoja ndo mana anamchukia hata yuko mbal nae anaogopa kivuli chake
Lisu anajua sheria vzr sana lkn ana mihemko na wakat fulan sheria zinapotungwa hupotosha ili kuiweka serikal ktk mtego ili I baadae sheria ikiwa mbaya serilal ndo yakilaumiwa itakapokuwa inatekeleza sheria hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.