ACT wazalendo imekuwa kama mcharo

ACT wazalendo imekuwa kama mcharo

Wiston Mogha

Senior Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
168
Reaction score
141
#MWANZA #MWANZA Ndugu mzalendo ungana na wazalendo wenzako katika wiki ya wazalendo mkoa wa Mwanza siku ya Jumapili 19/04/2015 kuanzia saa 08:00 mchana ndani ya viwanja vya Furahisha ambapo mzalendo Zitto Zuberi Kabwe na viongozi wengine wa kitaifa watakuwa wakihutubia umma wa watanzania kuhusu masuala mazito ya kitaifa na kutambulisha chama kipya ACT WAZALENDO
Usikose!! Sambaza ujumbe kwa wazalendo wengine kadri uwezavyo!
 

Attachments

  • 1429138323712.jpg
    1429138323712.jpg
    50.4 KB · Views: 219
Zitto Zuberi Kabwe mwenyewe hana uzalendo kwan mnatia aibu haka ka kitu Zitto ninavyojua anajina lake mzuri tu ambalo linamfaa........Msaliti ss ww unayemwuita ni mzalendo basi na ww unaisaliti nchi yako
 
Zitto Zuberi Kabwe mwenyewe hana uzalendo kwan mnatia aibu haka ka kitu Zitto ninavyojua anajina lake mzuri tu ambalo linamfaa........Msaliti ss ww unayemwuita ni mzalendo basi na ww unaisaliti nchi yako

hakika ZZK ni hatari na akaze buti
 
Zzk ni mzalendo wa kweli, hakuna mzalendo ktk cdm zaid yake wengi wa wana cdm ni waroho wa madaraka na mafisad wapiga pesa inakuwaje mwemyekit kuuzia chama chake vifaa eti ndo mzabun hii si sawa, enz za nyerere angechapwa bakora akaonyeshe mkewe na watoto wake
 
Back
Top Bottom