Ya Jenerali Ulimwengu na Josephat Gwajima, CCM ni Virus hatari

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,550
Miaka ya nyuma Jenerali ulimwengu wakati huo akimiliki kampuni ya Habari ya Cooperation alikuwa akiiandama sana serikali ya ccm kupitia magazeti yake ya Rai na Mtanzania,ccm ikaona isiwe tabu,ikamvaa Ulimwengu na kumwambia kuwa yeye si raia wa Tanzania na hivyo aanze kulipia kibali cha kuishi nchini,Ulimwengu alianza kulipia $1,200 kwa mwaka kama sikosei,Ulimwengu aliyepata kuwa mkuu wa wilaya ya Ngara aliporwa uraia wake kwa kosa tu la kuikosoa serikali ya CCM, na sasa ni zamu ya Gwajima.

Serikali yeyote duniani inayoelekea kuanguka huogopa hadi kivuli chake, huogopa hadi panya wanaopiga kelele chumbani, huogopa hadi mbu na inzi, huogopa hata kuku inaofuga yenyewe ikihisi wataiangamiza. Mtu mdogo asiye na lolote kama Gwajima na tu pesa twake twa madafu bil 250, eti anainyima usingizi serikali ya CCM kiasi cha kuhojiwa na makachero zaidi ya 20, kwa lipi? Ana jeshi?

CCM ni virus inayojitafuna yenyewe na kisha kushambulia wengine ikihisi ndo wanaitafuna, halafu majitu yalivyo na IQ ndogo humu yanamshambulia Gwajima.
 
umeongea ukweli kiongozi.Siyo tu inaenda kufa ila sasa imeanza kuoza kabisa hii serikali
 
Wakristo ni janga la dunia ndio chanzo cha umwagaji damu duniani na mauaji ya alike
 
Umeongea ukweli ila hapo kwenye billion 250 unaiita tupesa wewe Kweli hufikirii hiyo hela ni ndefu inahudumia wizara na ni pato la sekta kwenye nchi zetu za kiafrika we unaiita tupesa?
 
Gwajima cha kwanza si mtu mdogo, na cha pili ana jeshi.
Na cha tatu yy mwenyw n kamanda mwenye macho
 
Gwajima ni bonge LA hero. Polisi wanasumbuliwa na NJAA kali. CCM ishajifia inatafuta MTU wa kuizaba kibao ianguke Jamaa apate murder case
 
Last edited by a moderator:

abu kwamba Mpinzani wake (EL) ana mapesa
mengi. Wakasema hana kama za mafuta. Wao
watampatia za mafuta ahonge atakavyo, hata
kama akikosa Uraisi basi zimfae maishani, lakini
sharti asilimu kwanza ndipo alipo silimu.
Hivyo alhaji Pinda na Mahakama ya Kadhi ni Uhai
na uraisi wake. JOPO La Pinda linaloundwa na
wanaojiita waislam wenye misimamo mikali
serikalini ambao wapo jeshi la Polisi, wananchi na
magereza lakini pia Wizara mbalimbali, tawala za
mikoa, wakuu wa mikoa na wilaya , wenyeviti wa
vijiji n.k hawa wamedanganyika na kujiita wa
misimamo mikali. Wengine ni wasomi lakini
wanatumika tu kama Pampasi za Waarabu.
Lakini Kwenye Taifa la Tanzania wapo Viongozi
wa Dini waoga, ila wapo ambao ni sauti ya
Mungu. HAWAOGOPI. Gwajima ni mmoja wapo.
Na Pinda anaamini Kwenye majumuia ya
Makanisa Gwajima ana ushawishi mkubwa sana.
Akimsilence Gwajima in any means makelele ya
watu kuhusu mahakama ya kadhi yatakwisha na
atafanikisha lengo lake Chafu.
Baada ya tamko la maaskofu kupinga mahakama
ya kadhi, Pinda kwa Hira na Ushetani mkubwa
akajipenyeza kwa Mfipa mwenzake Kardinali
Pengo. Pengo ambaye hakuwa anajua chochote
kuhusu mambo machafu ya Pinda akamkubalia
ombi lake, kwamba atoe nae tamko la Kukataa
makubaliano ya maaskofu. Kitu ambacho PENGO
amefanya ni kibaya, kimefika VATICAN, na
mashushushu wa JESUIT, Wako nchini
kuchunguza Ukweli huu. Ni kweli Pengo
hakukubali mahakama ya kadhi, wala
hakuiongelea kwenye tamko Lake, yeye
alidanganywa na Pinda, aongelee tu Uhuru wa
watu kupiga kura usiingiliwe, Kumbe Nyuma ya
tamko lake kuna USHETANI MBAYA SANA ambao
Pinda alimficha, kwenye hiyo katiba Pendekezi
ndimo mahakama ya kadhi imejificha. Kardinali
Pengo hakulijua Hilo, wala hakuwaza kwamba
analishwa Ugoro pasipo kujua
Hata baada ya tamko lake, kabla ya audio ya
gwajima, Pengo alishaona ukweli kwamba Pinda
kamsababishia KULIKOROGA VIBAYA SANA.
Pengo amemlaani Pinda sana.
Sasa Baada ya Audio ya Gwajima, ndipo Ikulu
ikapata sababu ya kumwandama gwajima,
Mizengo Pinda akapata ahueni ya kumchakaza
anaye msumbua, Mizengo akaihamishia serikali
yetu yote kwa Mtu mmoja Tu Gwajima. Mizengo
Pinda anaamini kitachompata gwajima
watanzania watasema alijitakia, yeye kwanini
katutukania kiongozi wetu wakatoliki?,. na mtu
wa kuibeba inshu hiyo ni Pengo. Serikali imefanya
bidii sana kumshawishi pengo afungue
malalamiko ila pengo amekataa, Pinda
keshamwingiza kwenye MKENGE MKUBWA. Kwa
maana mahakama ya kadhi ikianza Tanzania
mkono wa Pengo Utahusika asilimia mia.
Lakini hata hivyo Team Pinda haikukubali,
wakaagiza jeshi la polisi, Limsake Gwajima
kimyakimya na Kumkamata, walipanga mbinu
mbaya sana. Taifa lingeshangaaa gwajima
katoweka tu. Na sanasana watu wangemsingizia
labda pengo ndiye aliye mdhuru, au serikali
ingesema waumini wa Pengo walikerwa na
matamshi yake wakamdhuru. Ila mtumishi huyu
sijui anaongozwaje na Mungu. Gwajima Kuibukia
central Police Ijumaa saa nane mchana ilikuwa Ni
Mshtuko, mshangao, kwa jeshi lote ambalo
lilijipanga Limkamatie Mikoani kimyakimya.
Sakasaka yake ilianzia alipotoka kuelekea nje ya
DAR, Police CYBER link ni mtandao unaotumika
hapa kugundua mtuhumiwa kwa kufukuzia namba
yake ya simu. Hivyo mtandao huo wa kijasusi wa
kipolisi ukaonyesha gwajima Yuko mlandizi.. Rpc
wa Morogoro akataarifiwa kwamba gwajima
anakwenda Morogoro. Akaanza kupanga jeshi
lake lote ili kumkamata gwajima. Maaskari wote
wakaagiwa kusimamisha gari la hammer na
kuliweka chini ya Ulinzi na wote walio ndani yake.
Lakini Morogoro hakuonekana na pia haieleweki
kwanini mtandao wetu haukuonyesha alipo.
Baada ya masaa mengi ukamwonyesha tena yupo
SAME. Basi ikaaminika anakwenda moshi. Askari
ote wakaamriwa kukamata Hammer. Lakini
hawakuliona.
Ilipofika jioni mtandano UKAONYESHA yupo
ARUSHA. Ndipo msako mkubwa wa kumsaka
Gwajima Arusha ulipo anza. hambush (KIZUIZI)
Kikubwa kikawekwa USARIVER ARUSHA, hakuna
gari kutoka Arusha au kuingia bila kukaguliwa.
Tulikagua, tukiuliza majina ya abiria wote na
kuangalia vitambulisho vyao. Amri kali kabisa
gwajima HATOKI ARUSHA HADI AKAMATWE
SILENCE, GWAJIMA ALISAKWA KAMA JASUSI,
JAMBAZI SUGU LISILO ONEKANA, MTUHUMIWA
WA MAUAJI MSUMBUFU, ILITUSTUA SANA.
Baadhi ya wenzetu wakatumwa kwenye kanisa
lake wajifanye kama wanataka kuombewa ili
wamkamate.
Kilichowashangaza maofisa wetu ni kwanini
haonekani wakati kwenye mtandao
ANAONEKANA?. NDIPO Kamanda kova
akaelekezwa ATOE PRES RELEASE KALI SANA, ili
gwajima akiiona ama akurupuke kutoka arusha
akimbilie Kenya, AU aanze FASTER kurudi dar,
kama stail inayoitwa “kuwasha moshi wa pilipili
kwenye shimo ili mnyama atoke. . hambush
zikawekwa njiani pande zote Kumnasa..
Kilicho tustua ni Gwajima Kuibukia Kwa Kamanda
Kova, Central Police. nilikua siamini sana kama
Mungu Yupo ila sasa naanza Kuamini kabisa.
Kama hambush Zote hakukamatwa, basi huyu si
mtu wa kawaida.
Nataka Kuwaambia Mchezo Huu mchafu
unaochezwa na huyu dalali wa Viungo vya Albino,
Pinda, ni mbaya sana. Walipanga na bado
wanapanga mambo mabaya sana kwa gwajima
kwa sababu anaipinga Vikali mahakama ya kadhi.
Baadhi ya wakristo wajinga wanasema alitumia
lugha kali, matusi, kejeli.. hawa ni wapumbavu..
hawajui Biblia, mwanzilishi wa ukristo Yesu
mwenyewe alikuwa mkali sana kwa wapuuzi na
mpole sana kwa wanyeyekevu. Alisema kwenye
Luka 13; 31 Saa ile ile Mafarisayo kadha wa
kadha walimwendea, wakamwambia, Toka hapa,
uende mahali pengine, kwa sababu Herode
anataka kukuua.
32 Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule
mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na
kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.
Huyu mwanzilishi wa Imani ya kikristo Yesu
mwenyewe alimwita Raisi wa kipindi hicho
Mbweha, (Fox), sembuse Pengo. Je gwajima
angesema We Pengo Mbeha Mkubwa we..
nadhani watu wangeropoka kweli mwezi mzima.
Ifike sehemu Ionekane raisi Yupo nchini. Kwanini
watu wanyee Setrikali yake na kuleta machafuko.
Raisi aitulize. Haiwezekani wapuuzi wachache
wanatumia rasilimali Zetu kupambana na mtu
mmoja kwa sababu za kijinga. Kama ni
mahakama ya kadhi wanaopitisha kwani ni
gwajima? Wao si waconcentrate na Bunge?
Mheshimiwa Rais, Tuko tayari kutoa namba zetu
na majina yetu ili Tukusimulie kila kitu
kinachoendelea Juu ya Fujo za Pinda. Tunaomba
Uitulize nchi, Umalize uongozi wako kwa utulivu,
WASIKUVURUGIE.
Imenikera, nimeitoa kama ilivyo..
Kama Hutaki kuniita mzalendo basi najiita
mwenyewe Ni mzalendo wa Kweli.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Duuh! Gwajima Anautajiri Wa Sh.Bilioni 250 Halafu Kilaza Mmoja Anaziita Tupesa Twa Madafu!Waumini Wake Wengi Wao Wanaishi Katika Umasikini Uliotopea Kweli Matajiri Hawataurithi Ufalme Wambinguni, endelea Kupiga Hela Zakondoo Babaa Wajinga Ndio Waliwao!
 
Miaka ya nyuma Jenerali ulimwengu wakati huo akimiliki kampuni ya Habari ya Cooperation alikuwa akiiandama sana serikali ya ccm kupitia magazeti yake ya Rai na Mtanzania,ccm ikaona isiwe tabu,ikamvaa Ulimwengu na kumwambia kuwa yeye si raia wa Tanzania na hivyo aanze kulipia kibali cha kuishi nchini,Ulimwengu alianza kulipia $1,200 kwa mwaka kama sikosei,Ulimwengu aliyepata kuwa mkuu wa wilaya ya Ngara aliporwa uraia wake kwa kosa tu la kuikosoa serikali ya CCM, na sasa ni zamu ya Gwajima.

Serikali yeyote duniani inayoelekea kuanguka huogopa hadi kivuli chake, huogopa hadi panya wanaopiga kelele chumbani, huogopa hadi mbu na inzi, huogopa hata kuku inaofuga yenyewe ikihisi wataiangamiza. Mtu mdogo asiye na lolote kama Gwajima na tu pesa twake twa madafu bil 250, eti anainyima usingizi serikali ya CCM kiasi cha kuhojiwa na makachero zaidi ya 20, kwa lipi? Ana jeshi?

CCM ni virus inayojitafuna yenyewe na kisha kushambulia wengine ikihisi ndo wanaitafuna, halafu majitu yalivyo na IQ ndogo humu yanamshambulia Gwajima.

Wanaomshambulia Gwajima wajinga wapuuzi hawafani hawajui kinachoendelea ila ni ubinafsi tu
 
Pia unabii wa nabii nyerere unatimia, pale aliposema mpinzani wa kweli wa ccm atatoka ccm na mwisho wa ccm ni kukaa wazee.

umeongea ukweli kiongozi.Siyo tu inaenda kufa ila sasa imeanza kuoza kabisa hii serikali
 
abu kwamba Mpinzani wake (EL) ana mapesa
mengi. Wakasema hana kama za mafuta. Wao
watampatia za mafuta ahonge atakavyo, hata
kama akikosa Uraisi basi zimfae maishani, lakini
sharti asilimu kwanza ndipo alipo silimu.
Hivyo alhaji Pinda na Mahakama ya Kadhi ni Uhai
na uraisi wake. JOPO La Pinda linaloundwa na
wanaojiita waislam wenye misimamo mikali
serikalini ambao wapo jeshi la Polisi, wananchi na
magereza lakini pia Wizara mbalimbali, tawala za
mikoa, wakuu wa mikoa na wilaya , wenyeviti wa
vijiji n.k hawa wamedanganyika na kujiita wa
misimamo mikali. Wengine ni wasomi lakini
wanatumika tu kama Pampasi za Waarabu.
Lakini Kwenye Taifa la Tanzania wapo Viongozi
wa Dini waoga, ila wapo ambao ni sauti ya
Mungu. HAWAOGOPI. Gwajima ni mmoja wapo.
Na Pinda anaamini Kwenye majumuia ya
Makanisa Gwajima ana ushawishi mkubwa sana.
Akimsilence Gwajima in any means makelele ya
watu kuhusu mahakama ya kadhi yatakwisha na
atafanikisha lengo lake Chafu.
Baada ya tamko la maaskofu kupinga mahakama
ya kadhi, Pinda kwa Hira na Ushetani mkubwa
akajipenyeza kwa Mfipa mwenzake Kardinali
Pengo. Pengo ambaye hakuwa anajua chochote
kuhusu mambo machafu ya Pinda akamkubalia
ombi lake, kwamba atoe nae tamko la Kukataa
makubaliano ya maaskofu. Kitu ambacho PENGO
amefanya ni kibaya, kimefika VATICAN, na
mashushushu wa JESUIT, Wako nchini
kuchunguza Ukweli huu. Ni kweli Pengo
hakukubali mahakama ya kadhi, wala
hakuiongelea kwenye tamko Lake, yeye
alidanganywa na Pinda, aongelee tu Uhuru wa
watu kupiga kura usiingiliwe, Kumbe Nyuma ya
tamko lake kuna USHETANI MBAYA SANA ambao
Pinda alimficha, kwenye hiyo katiba Pendekezi
ndimo mahakama ya kadhi imejificha. Kardinali
Pengo hakulijua Hilo, wala hakuwaza kwamba
analishwa Ugoro pasipo kujua
Hata baada ya tamko lake, kabla ya audio ya
gwajima, Pengo alishaona ukweli kwamba Pinda
kamsababishia KULIKOROGA VIBAYA SANA.
Pengo amemlaani Pinda sana.
Sasa Baada ya Audio ya Gwajima, ndipo Ikulu
ikapata sababu ya kumwandama gwajima,
Mizengo Pinda akapata ahueni ya kumchakaza
anaye msumbua, Mizengo akaihamishia serikali
yetu yote kwa Mtu mmoja Tu Gwajima. Mizengo
Pinda anaamini kitachompata gwajima
watanzania watasema alijitakia, yeye kwanini
katutukania kiongozi wetu wakatoliki?,. na mtu
wa kuibeba inshu hiyo ni Pengo. Serikali imefanya
bidii sana kumshawishi pengo afungue
malalamiko ila pengo amekataa, Pinda
keshamwingiza kwenye MKENGE MKUBWA. Kwa
maana mahakama ya kadhi ikianza Tanzania
mkono wa Pengo Utahusika asilimia mia.
Lakini hata hivyo Team Pinda haikukubali,
wakaagiza jeshi la polisi, Limsake Gwajima
kimyakimya na Kumkamata, walipanga mbinu
mbaya sana. Taifa lingeshangaaa gwajima
katoweka tu. Na sanasana watu wangemsingizia
labda pengo ndiye aliye mdhuru, au serikali
ingesema waumini wa Pengo walikerwa na
matamshi yake wakamdhuru. Ila mtumishi huyu
sijui anaongozwaje na Mungu. Gwajima Kuibukia
central Police Ijumaa saa nane mchana ilikuwa Ni
Mshtuko, mshangao, kwa jeshi lote ambalo
lilijipanga Limkamatie Mikoani kimyakimya.
Sakasaka yake ilianzia alipotoka kuelekea nje ya
DAR, Police CYBER link ni mtandao unaotumika
hapa kugundua mtuhumiwa kwa kufukuzia namba
yake ya simu. Hivyo mtandao huo wa kijasusi wa
kipolisi ukaonyesha gwajima Yuko mlandizi.. Rpc
wa Morogoro akataarifiwa kwamba gwajima
anakwenda Morogoro. Akaanza kupanga jeshi
lake lote ili kumkamata gwajima. Maaskari wote
wakaagiwa kusimamisha gari la hammer na
kuliweka chini ya Ulinzi na wote walio ndani yake.
Lakini Morogoro hakuonekana na pia haieleweki
kwanini mtandao wetu haukuonyesha alipo.
Baada ya masaa mengi ukamwonyesha tena yupo
SAME. Basi ikaaminika anakwenda moshi. Askari
ote wakaamriwa kukamata Hammer. Lakini
hawakuliona.
Ilipofika jioni mtandano UKAONYESHA yupo
ARUSHA. Ndipo msako mkubwa wa kumsaka
Gwajima Arusha ulipo anza. hambush (KIZUIZI)
Kikubwa kikawekwa USARIVER ARUSHA, hakuna
gari kutoka Arusha au kuingia bila kukaguliwa.
Tulikagua, tukiuliza majina ya abiria wote na
kuangalia vitambulisho vyao. Amri kali kabisa
gwajima HATOKI ARUSHA HADI AKAMATWE
SILENCE, GWAJIMA ALISAKWA KAMA JASUSI,
JAMBAZI SUGU LISILO ONEKANA, MTUHUMIWA
WA MAUAJI MSUMBUFU, ILITUSTUA SANA.
Baadhi ya wenzetu wakatumwa kwenye kanisa
lake wajifanye kama wanataka kuombewa ili
wamkamate.
Kilichowashangaza maofisa wetu ni kwanini
haonekani wakati kwenye mtandao
ANAONEKANA?. NDIPO Kamanda kova
akaelekezwa ATOE PRES RELEASE KALI SANA, ili
gwajima akiiona ama akurupuke kutoka arusha
akimbilie Kenya, AU aanze FASTER kurudi dar,
kama stail inayoitwa "kuwasha moshi wa pilipili
kwenye shimo ili mnyama atoke. . hambush
zikawekwa njiani pande zote Kumnasa..
Kilicho tustua ni Gwajima Kuibukia Kwa Kamanda
Kova, Central Police. nilikua siamini sana kama
Mungu Yupo ila sasa naanza Kuamini kabisa.
Kama hambush Zote hakukamatwa, basi huyu si
mtu wa kawaida.
Nataka Kuwaambia Mchezo Huu mchafu
unaochezwa na huyu dalali wa Viungo vya Albino,
Pinda, ni mbaya sana. Walipanga na bado
wanapanga mambo mabaya sana kwa gwajima
kwa sababu anaipinga Vikali mahakama ya kadhi.
Baadhi ya wakristo wajinga wanasema alitumia
lugha kali, matusi, kejeli.. hawa ni wapumbavu..
hawajui Biblia, mwanzilishi wa ukristo Yesu
mwenyewe alikuwa mkali sana kwa wapuuzi na
mpole sana kwa wanyeyekevu. Alisema kwenye
Luka 13; 31 Saa ile ile Mafarisayo kadha wa
kadha walimwendea, wakamwambia, Toka hapa,
uende mahali pengine, kwa sababu Herode
anataka kukuua.
32 Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule
mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na
kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.
Huyu mwanzilishi wa Imani ya kikristo Yesu
mwenyewe alimwita Raisi wa kipindi hicho
Mbweha, (Fox), sembuse Pengo. Je gwajima
angesema We Pengo Mbeha Mkubwa we..
nadhani watu wangeropoka kweli mwezi mzima.
Ifike sehemu Ionekane raisi Yupo nchini. Kwanini
watu wanyee Setrikali yake na kuleta machafuko.
Raisi aitulize. Haiwezekani wapuuzi wachache
wanatumia rasilimali Zetu kupambana na mtu
mmoja kwa sababu za kijinga. Kama ni
mahakama ya kadhi wanaopitisha kwani ni
gwajima? Wao si waconcentrate na Bunge?
Mheshimiwa Rais, Tuko tayari kutoa namba zetu
na majina yetu ili Tukusimulie kila kitu
kinachoendelea Juu ya Fujo za Pinda. Tunaomba
Uitulize nchi, Umalize uongozi wako kwa utulivu,
WASIKUVURUGIE.
Imenikera, nimeitoa kama ilivyo..
Kama Hutaki kuniita mzalendo basi najiita
mwenyewe Ni mzalendo wa Kweli.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
duhh man umetumwa nini,full scape!
 
Back
Top Bottom