Recent content by Mtu wa Kawaida

  1. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania William Malecela Toka BCS - Jambo hadi JamiiForums

    Pumzika kwa amani
  2. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

    Nadhani wamelewa ni umbali wa kwenda chini ardhini na sio kuyatoa maji mto Wami au Ruvu Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
  3. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

    Duh¿¡¡ Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
  4. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

    Mkuu nina nyumba yangu eneo la Mkata mkoani Tanga, je kwa makadirio yenu mnaweza kuchimba umbali gani kupata maji? Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
  5. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awataka TRA kuacha kubambikia wafanyabiashara kodi, asema wanakadiria kodi kubwa ili wapewe rushwa!

    Nakuunga mkono mkuu ila kwenye ushauri uliutoa ningeongezea bidhaa za vyakula ambavyo ni muhimu kama unga, mchele, maharage nk, visiwe na VAT Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
  6. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania Naombeni stori za njaa ya 1988 na Elnino ya 1998

    Mzee wa Kanda Maalum aka Rorya
  7. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunaporejea kwa kishindo, tahadhari

    "Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf.mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia...
  8. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zanzibar: Salim Turky, Mwanasiasa Mkongwe na Mgombea Jimbo la Mpendae Zanzibar, afariki dunia

    Aliwadhamini CHADEMA na haukuilipia hata senti moja. Yeye alikuwa ni mdhamini wa CHADEMA kwenye malipo
  9. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

    Angalia kwa kupitia YouTube. Wanaionyesha bure
  10. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania UCL Final: PSG Vs Bayern Munich

    Angalia YouTube manake wanaonyesha hii game
  11. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

    Mkuu nao kule kwa Trend ya utabiri wa Nyani Ngabu kuhusu lidubwashwa umekula kona imekuja huku kusema yale maneno yako ya chuki dhidi ya Mwana wa Adam mwenzio
  12. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania Tundu 'Frankenstein' Lissu

    Vipi kamanda je unakumbuka haya maneno yako?
  13. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

    Poleni sana kwa wafiwa. Mola ampatie pumziko analostahili
  14. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania Ukuta Shule ya Sekondari Ngasaro, Shirati Rorya waanguka. Wanafunzi wawili wafariki

    Kumbe watu wa Kanda maalum ya Rorya wapo wengi humu kwenye jukwaa
  15. Mtu wa Kawaida

    JamiiForums Tanzania GE2020 January Makamba asema hana uhakika kama atagombea Ubunge 2020

    Ni balozi wa Tanzania nchini uingereza( UK)
Back
Top Bottom