Kwani uchaguzi tayari? tusubiri Oktoba ndio tutajua au kwa uwezo wako mdogo wa kufikiri unadhani CCM wakiteua mgombea na nchi nayo ndio imefanya uchaguzi?
Muda huo huo tukio kama hilo la uporaji simu kwa kutumia bodaboda limetokea hapa Morogoro mjini na karibu bodaboda zote za hapa mjini wanamfukuza jamaa nafikiri wakimpata hakuna mjadala yatakuwa yaleyale!
Ukipona wembe ni uleule hakuna kuwakopesha wasaliti,sijui nani kamdanganya Pinda kuwa eti atakuwa rais,labda mchagueni awe rais wenu wafipa lakini TZ never,bora tuongozwe na boga kuliko Pinda!
Ni mpare wa same na ndiko alikozaliwa,kwa kuwa alikuwa yatima alilelewa na marehemu Moses Kulola,alifundishwa huduma na mwalimu CHRISTOPHER MWAKASEGE na baadae akaenda malawi kutumika chini ya NABII BUSHIRI,aliporudi TZ alifungua huduma IRINGA kisha akahamia TANGA ambako yuko hadi sasa.
Kaka TANGA kuna kuingia tu hakuna kutoka na ukifanikiwa kutoka basi dada zangu wenyeji watakuwa wamekupurusa vya kutosha isitoshe ni wakarimu mno,hata ukae miaka ishirini siku ya kuondoka ukiaga wadada watakuambia "jamani hata haujakaa WAJA LEO WAONDOKA LEO!" Wengi wametelekeza familia sababu ya...
Kwa sisi waislamu tunaamini majini ni viumbe wepesi walioumbwa na mwenyezi mungu ili kumuabudu kama ambavyo sisi wanadamu tumeumbwa kumuabudu.hivyo hakuna tofauti ya lengo la kuumbwa kati ya binadamu na majini hivyo majini ni ndugu zetu hasa sisi waislamu,ndio maana kwenye hadithi mojawapo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.