Recent content by Mtu Poa 2013

  1. M

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Nissan Serena

    Ndio maana basi watu hawazipendi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Kama unahitaji gari zuri usiache kupitia huu uzi

    Nina sh 3m mwenye toyota premio old model ameichoka aniuzie. Ni pm details
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke kuanzia mwenye miaka 40 na kuendelea

    Asante
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wenye magari mabovu tu: Tupeane uzoefu na motisha na namna ya kuishi nayo

    Habari yenu. Nina sh 6m mwenye alphard bovu lkn linalotembea Ani pm tufanye biashara
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke kuanzia mwenye miaka 40 na kuendelea

    Tafuta mwanasaikolojia utibu changamoto ya afya Yako ya akili
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke kuanzia mwenye miaka 40 na kuendelea

    Dah sio fresh kusema hivyo. Nakusemea kwa mkeo
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba asiye na uwezo wa kupata watoto

    Nadhani Tanzania watu wengi mna changamoto ya afya ya akili
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke kuanzia mwenye miaka 40 na kuendelea

    Hanari. Natafuta mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea ambaye atakuwa mke wangu. Awe mkristo na mwenye upendo. Pia asiye na familia kwa maana asiwe na mtoto. Ni PM namba Yako kama upo serious
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu Sh 6M mwenye Crown royal saloon

    Wakuu habari zenu. Nina sh 6m naulizia mwenye Toyota crown royal saloon anauza ameichoka aweke picha na namba ya simu tufanye biashara Au kama hata mwenye Mark X aweke namba Asante
  10. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo vs CHADEMA: Kipi ndio chama kikuu cha upinzani?

    Habari zenu. Kwanza naandika kuuliza hili swali nikiwa mpya katika masuala ya siasa. Hivyo mnaponipatia majibu naombeni kuzodoana na kejeli na kukashifiana viwe pembeni. Tunaelimishana tu Kati ya act na chadema Kipi ndio chama kikuu Cha upinzani maana Kila redio kwenye taarifa za habari...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kinanda Cha studio kinauzwa

    Punguza bei miss nije nikichukue Leo. Navitafuta hivi sana. Nina sh 500,000 cash
  12. M

    JamiiForums Tanzania Makazi ya wakuu wa mikoa

    Kuna haja gani ya kukashifiana, kama Kuna mahali nimeqcha au sijaweka jambo vizuri si uweke maoni Yako tutaelewa tu, Kuna haja gani ya kukashifu? Hauoni unakosea? Au na wewe una changamoto ya afya ya akili? Nadhani ndio hivyo. Pole
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makazi ya wakuu wa mikoa

    Ukiamgalia comment na mtu anavyojenga hoja unajua hapa kuna changamoto ya afya ya akili. Ukimjengea DC nyumba ya chini sio ghorofa ya sh 80m mi sidhani Kuna ubaya. Ubaya unakuja unamjengea DC nyumba ghorofa ya sh m800 hii sio sahihi kama Ile nyumba ya mkuu wa wilaya iliyoungua wilaya 1 dsm...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Makazi ya wakuu wa mikoa

    Habari zenu. Hivi karibuni nilikwenda mkoa wa Ruvuma na nikapita karibu na makazi ya mkuu wa mkoa nikashangaa sana namna pesa zetu za Kodi zinavyofanya viongozi wetu waishi kifahari. Kama Kuna mtu ashawahi piga picha au anazo picha za makazi mbalombali ya wakuu wetu wa mikoa atupie humu tuone...
Back
Top Bottom