Makazi ya wakuu wa mikoa

Makazi ya wakuu wa mikoa

Kama iyo
 
Attachments

  • IMG_20231206_173733_449.jpg
    IMG_20231206_173733_449.jpg
    204.5 KB · Views: 21
Wa Tanzania wengi uelewa wa mambo bado hatuna tunaishi kwenye fikra za kale sana. Tuhitaji kuwa exposed na maisha ya sasa yalivyo na tutafute fursa za kujiendeleza kiuchumi na kifikra. Imagine mtu hapa anamsema RC/RAS/DC/DAS nyumba wanazoishi kisa yeye hana uwezo wa kujenga hiyo nyumba au inayokaribiana na hiyo kwa kigezo zimejengwa kwa kodi zetu. SMH!
Ukiamgalia comment na mtu anavyojenga hoja unajua hapa kuna changamoto ya afya ya akili.

Ukimjengea DC nyumba ya chini sio ghorofa ya sh 80m mi sidhani Kuna ubaya. Ubaya unakuja unamjengea DC nyumba ghorofa ya sh m800 hii sio sahihi kama Ile nyumba ya mkuu wa wilaya iliyoungua wilaya 1 dsm.

Unamnunulia rc dar gari SUV V8 ya sh 600m ya nini dar kwani Kuna barabara mbovu kiasi Cha kuwa na gari kubwa namna hiyo. Hivi akiwa na gari mfano Toyota fortuner new ya sh 180m hauwezi mfikisha dsm yote?

Ukiwa unajenga hoja weka stress zako pembeni
 
Habari zenu. Hivi karibuni nilikwenda mkoa wa Ruvuma na nikapita karibu na makazi ya mkuu wa mkoa nikashangaa sana namna pesa zetu za Kodi zinavyofanya viongozi wetu waishi kifahari.

Kama Kuna mtu ashawahi piga picha au anazo picha za makazi mbalombali ya wakuu wetu wa mikoa atupie humu tuone jinsi Kodi zetu zinavyoliwa na wapenda ufahari
Ulitaka wakae kwenye nyumba za tope
 
Habari zenu. Hivi karibuni nilikwenda mkoa wa Ruvuma na nikapita karibu na makazi ya mkuu wa mkoa nikashangaa sana namna pesa zetu za Kodi zinavyofanya viongozi wetu waishi kifahari.

Kama Kuna mtu ashawahi piga picha au anazo picha za makazi mbalombali ya wakuu wetu wa mikoa atupie humu tuone jinsi Kodi zetu zinavyoliwa na wapenda ufahari
Bashite anaishi Gran Melia hotel
 
Hivi vyeo vya kulipana fadhila ni vya kipuuzi kabisa.

Kodi za Watanzania zinatumika kijinga kabisa
 
Habari zenu. Hivi karibuni nilikwenda mkoa wa Ruvuma na nikapita karibu na makazi ya mkuu wa mkoa nikashangaa sana namna pesa zetu za Kodi zinavyofanya viongozi wetu waishi kifahari.

Kama Kuna mtu ashawahi piga picha au anazo picha za makazi mbalombali ya wakuu wetu wa mikoa atupie humu tuone jinsi Kodi zetu zinavyoliwa na wapenda ufahari
Sorry upo mzima kweli?
 
Nyumba za wakuu wa mikoa au wakuu wa wilaya ni Ikulu ndogo,na inapotokea pia viongozi wakuu wa nchi wanapopita hayo maeneo kikazi na ikawalazimu kulala huwa wanatumia hizo nyumba kwahiyo zinatakiwa kuwa na hadhi inayokubalika,au ulitaka wakifika kule walale guest House mkuu...!
Jibu sahihi ni ndiyo,watumishi wengine wa Umma wanazo hizo fursa?
 
Sorry upo mzima kweli?
Kuna haja gani ya kukashifiana, kama Kuna mahali nimeqcha au sijaweka jambo vizuri si uweke maoni Yako tutaelewa tu, Kuna haja gani ya kukashifu? Hauoni unakosea? Au na wewe una changamoto ya afya ya akili? Nadhani ndio hivyo. Pole
 
Ulitaka waishi kwenye nyumba za tembe? Pambana ndugu ujenge nyumba yako kali. Ukienda kwenye nyumba ya GSM si ndo ungelaani?
 
Habari zenu. Hivi karibuni nilikwenda mkoa wa Ruvuma na nikapita karibu na makazi ya mkuu wa mkoa nikashangaa sana namna pesa zetu za Kodi zinavyofanya viongozi wetu waishi kifahari.

Kama Kuna mtu ashawahi piga picha au anazo picha za makazi mbalombali ya wakuu wetu wa mikoa atupie humu tuone jinsi Kodi zetu zinavyoliwa na wapenda ufahari
sasa bila kapicha hata kamoja tutajadiri nini
 
Nyumba za wakuu wa mikoa au wakuu wa wilaya ni Ikulu ndogo,na inapotokea pia viongozi wakuu wa nchi wanapopita hayo maeneo kikazi na ikawalazimu kulala huwa wanatumia hizo nyumba kwahiyo zinatakiwa kuwa na hadhi inayokubalika,au ulitaka wakifika kule walale guest House mkuu...!
Ungejua wanakolalaga hao viongozi wakiwa ziara mikoani usingeandika hiyo sentensi ya mwisho.
 
Ya Singida nilikua sikauki mle ndani maana tulikua jirani na yule RAS watoto wake tulikua nao st Kayumba.
Nilikua navizia Emma kwahiyo mle kuzama ilikua fresh tu,palikua pa kawaida sana.sijui sasa hivi
 
Wa Tanzania wengi uelewa wa mambo bado hatuna tunaishi kwenye fikra za kale sana. Tuhitaji kuwa exposed na maisha ya sasa yalivyo na tutafute fursa za kujiendeleza kiuchumi na kifikra. Imagine mtu hapa anamsema RC/RAS/DC/DAS nyumba wanazoishi kisa yeye hana uwezo wa kujenga hiyo nyumba au inayokaribiana na hiyo kwa kigezo zimejengwa kwa kodi zetu. SMH!
Wajenge zao mbona wabunge wanajenga zao

Kwani wao hawapewi mishahara Kama watumishi wengine??

Hoja hapa ni ubovu wa katiba

Mkoa una watumishi wengi wateuliwa wa Rais ambao ni useless, incompetent, ignorance and etc

Mtu Kama Makonda ambaye Hana vyeti eti mkuu wa mkoa

Chalamila mkuu wa mkoa duh hii nchi bwana !!

Halafu wanatumia Kodi zetu wajenge Kama Watanzania wengine

Ndio maana wasiojulikana hawatakuja kuisha !!!
 
Habari zenu. Hivi karibuni nilikwenda mkoa wa Ruvuma na nikapita karibu na makazi ya mkuu wa mkoa nikashangaa sana namna pesa zetu za Kodi zinavyofanya viongozi wetu waishi kifahari.

Kama Kuna mtu ashawahi piga picha au anazo picha za makazi mbalombali ya wakuu wetu wa mikoa atupie humu tuone jinsi Kodi zetu zinavyoliwa na wapenda ufahari
Panabidi pawevizuri maana hata mkuu Wa nchi anawezafikiahapo
 
Hivi Mkuu wa Mkoa Arusha bado anaishi Hotelini au amekwishaingia katika nyumba ya RC Arusha
 
Back
Top Bottom