Recent content by MTTC

  1. M

    Wizara ya elimu yaongeza ajira mpya za walimu 2012/2013

    Hatimaye wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi imefanya mapitio ya walimu waliohitimu mafunzo ya shahada na kugundua kuwa kuna baadhi yao waliachwa kimakosa huku wakiwa na somo la kufundishia sekondari. hivyo basi kwa walimu wote waliosoma (bed---) na wenye somo mmojawapo la kufundishia sekondari...
  2. M

    Nitapata mke mwema Jf?

    Kuwa na iman kuwa atajitokeza hapa jf
  3. M

    Waziri mwingine aihujumu CHADEMA

    Ukisoma habari hii kwa makin utagundua kuwa naibu waziri anayeongelewa hapa ni yule wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi bwana philip mulugo. soma paragraph ya mwisho kwenye habari hii ili upate kuujua ukweli wa mhusika.
Back
Top Bottom