Kusoma sheria za kidunia ni sawa na bure,Hata wanyama hawafanyiani hivi huyu mama yaonekana hata madrasa hakupita.Ingawa Unguja kuna wanazuoni wengi.Aina ya watu kama huyu mama ni bure kabisa I wish I could be President ningefuta kabisa vyeti vyake vya sheria.
Sukari imewashinda mpaka leo bei juu!sasa mnakuja na mambo ya nyumba za watu mliwasaidia kuzijenga?Hii ni nchi yetu sote tusiwekeane sheria za ajabu ajabu.
Lissu yuko sawa asilimia mia,hao wabunge pesa zao wachukue baada ya miaka mitano sisi wakwawachina ajira za mwaka na nusu mpaka tufike miaka sitini jee hii ni halali kweli?Naamini hiki kitakua kipindi kibovu kabisa katika nchi hii kama fao hili litatolewa.
Watafute njia nyingine ya kuanzishia viwanda sio hii ya kuchukua pesa zetu.Watu tunafanya kazi ambazo si za kudumu mfumo wa ajira hapa nchini haumpi mwajiriwa nafasi ya kufika miaka 55.Kwa wanaofanya kazi kwa wahindi migodini nk wataungana na mimi.Hili suala linaonyesha ni jinsi gani viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.