Ushuhuda wangu namshukuru sana Mungu alieniokoa sikuwahi kujua ipo siku nitalala bila kufanya uzinzi.Nilikua mzinzi wa chini chini mwangaliaji wa pono mchezaji wa miziki ya dance isiyo na maadili nilikua najificha nakwenda kanisani ila matendo yangu najua mwenyewe.ilifika siku nikachoka maana...
Kwani hao wanaume wa kuwachezea mnawapata wapi wenzetu.Mimi ninavohangaika na maisha nifanye Kila kitu nwenyewe nitoe mtaji Kila mwaka mwanaume apate na wala asione nastahili kuona faida.kusoma hataki kujiendeleza hataki.akiwa kitu hataki hasemi.Nikapanga kumsomesha Marekani akagoma kwenda jamani
Mkoa ambao nauelewa na watu wake wameelimika kuhusu mazingira na makazi ni Kilimanjaro.Wachaga nawaheshimu kwa hilo.Makabila yote yajifunze kwa wenzetu wanapenda vitu vizuri.
Huyu jamaaa sijui kama papers zitapona sababu ukiomba asylum Canada hairuhusiwi kwenda huko ulikotoka.Nigerians wanachofanya wanaomba asylum ila wanakwenda nchi ya jirani lets say Ghana.kutoka Ghana kuingia Nigeria anatumia passport ya Nigeria.Labda na yeye katumia njia hiyo
Hata mimi nilikua najiuliza maswali kama haya inakuaje nchi yenye uchumi mkubwa kuna watu homeless.Mimi mtanzania siwezi kua homeless kwanza nina kwangu kwa wazazi na kwa bibi huko kote nina haki ya kuta nyumbani na nikienda napokelewa.Nilipofika ughaibuni nikagundua homeless wengi wazawa ni wa...
Mi nadhani ianze kwa mwenye sherehe, beba sherehe yako mwenyewe kama una milioni inatosha kufanya sherehe.baada ya hapo hutajiona una deni kuwachangia wengine.wengi wanachanga kwa sababu na wao walichangiwa.Wengi wanachanga kwa kujifariji na yeye atachangiwa.
Kama ni kurudi kijijini vijiji viko vingi sana Tanzania ukisogea vijiji vya mbalali kuanzia mwezi wa kwanza mpaka wa tatu hukosi laki tatu kwa mwezi na zaidi cha msingi usiwe mvivu.piga kazi huko mashambani watu wanaweka CPA zao mfukoni elimu kichwani
Jipe angalau miaka 10 ,usirukeruke kama kitenesi unajaribu aina nyingine ya biashara kila baada ya miaka 2 hapo sahau kutoboa.komaa na biashara moja tena sio 10 hiyo min jipe hata 20 yrs.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.