Recent content by MtotoWaMandela

  1. M

    Waziri Mwakyembe ashushuliwa.

    Mwakyembe mbona anakuwa km mfa maji?Shirika la ndege la Taifa mbona hakikusumbui au umeshindwa?
  2. M

    Neno 'siri' lilivyotumika vibaya kufungia gazeti la mwananchi

    nimerudi jamvi nawasalimu wazalendo wa kweli.
  3. M

    Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    mchechu anahusika sana km hahusiki basi ladha wanamuonea yeye anahusikaje?
  4. M

    Waraka maalum kwa Watanzania wote

    Mungu akubariki sana sana
  5. M

    Waraka maalum kwa Watanzania wote

    MUNGU Akudariki sana sana usia na ushauri wako kwetu watanzania ni wakuufanyia kazi siku zote
  6. M

    Picha: Ulimboka na JK

    ikulu halafu mwabepande
  7. M

    Tarehe alizoteswa Ulimboka, Mambo ya Kova na Mistari ya Biblia inavyosema (26:6:12) (27/6/'12)

    ndio maana MUNGU hakumwacha masaa yote alipigwa na wale wauwaji tena sio mkenya ni watanzania wenzake km angekuwa mkenya Dr angejua matamshi yao maana kiswahili chao kinajulikana bana
  8. M

    Mchungaji Gwajima Kuueleza Umma Kesho kuhusu Mkenya wa Ulimboka

    ya kaisari mpe kaisari na ya MUNGU MPE MUNGU ushauri kwa Gwajima
  9. M

    Barua ya amri ya kuitwa polisi kwa Mnyika

    POLISI YA HAPA DAR HALAFU MAKAO YAO MAKUU MWABEPANDE,mbona mtatupeleka wengi huko!na je nyie mtaishi milele?
  10. M

    Nchimbi: Viongozi wa CHADEMA watahojiwa juu ya kutishiwa kwao kuuwawa.

    Usoni nakuchekea,Moyoni nimeshakupangia watu kukupeleka Mwabe,km likibumburuka nitaunda tume yangu ya uchunguzi, kisha nitasafiri kwenda kuonana na kupiga picha na 50 cent nikirudi nitawaagiza mahakama watoe hukumu yao halafu vyombo vya habari haswa TBC itawatangazia.halafu mtafunga midomo yenu
  11. M

    Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

    jamani huko mwabepande inawezekana kuna mafuvu mengi sana na mifupa ya watu,hii ya Dr Ulimboka ni MUNGU amependa sana kumweka hai ili DR aelezee mateso na ukatili wa serikali hii, ni damu nyingi sana zimemwagwa huku Mwabepande jamani.Ikiwezekana kukafanyiwe uchunguzi huku msitu wa pande.Kwann...
  12. M

    Kiashiria kingine cha uhusika wa serikali mateso ya dk ulimboka

    hiyo avatar yako tu inatupa picha kamili wewe ni mmojawapo wa walimteka dr;wakina mangi huwa wanatafuta pesa kwa jasho wewe umeamua shortcut kujiingiza huku.pepo we umeshinda fia kuzumu
  13. M

    VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

    Pole sana sana dr.mungu aliye juu ya mamlaka zote ulimwenguni na mbinguni atakulipia.
  14. M

    CHADEMA kuweni makini sana, kilicho nyuma ya pazia hiki hapa!

    MUNGU AKIWA UPANDE WETU NINANI ATAKAYE KUWA KI:israel:NYUME NASI?
  15. M

    Hivi ile kesi ya mauaji ya pale nyumba za mawaziri makumbusho imeishia wapi?

    TF hicho kijamaa nimekipenda sana ni CHADEMA kinamsukuma CCM.THX
Back
Top Bottom