Kaka speed na muda wa speeed inatokana na kifurushi ulichoweka. Huwezi stream mpira kwa MB200 mpaka ukaisha na kwa speed hiyo hiyo. Hebu jiunge kile kifurushi cha 18gb uone kama hujakesha mpaka asubuhi
*148*66# utapewa choice za kutosha. Unliimited MB800 kwa siku kwa 999 Tshs. Na GB18 kuanzia saa 5 hadi 12 asubuhi kwa 1500 shindwa mwenyewe. Vifurushi vya kupiga simu mitandao yote ndo usiseme
Ukweli nikwamba kwa speed wanatisha. Kwa Bundle za Usiku Packs wako pouwa sana kuliko hata hao zantel waliokuwa wanakimbiza. Tatizo la halotel nililoliona kwenye vifurushi vya data ni Computer system yao kudata wakati fulani fulani. As in mimi najiunga data ya unlimited wanashindwa kuniletea...
:A S 576:Inasikitisha saana kuona hata sasa kijana mwenye uwezo wa kufanya kazi anaweka uhai wake, utu wake na ujana wake rehani kisha kufanya kiuno chake kuwa ajira. Kimsingi angekuwa ni mpenzio hukupaswa kurudisha kwani zawadi hazina refund. Lakini kwakuwa ulihongwa kwa matumizi ya kumridhisha...
NADHANI ULE USEMI WA KALE UNASEMA HIVI "TOA KWANZA BORITI KWENYE JICHO LAKO, NDIPO UTAONA KIBANZI KWENYE JICHO LA MWENZAKO" Ukiwa kama mwana harakati kijana na unayetafuta njia YOU CANT AFFORD TO DO MISTAKES, YO DO NOT HAVE THE LUXURY OF PETTY MISTAKES!! Gud Day
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.