Recent content by Mtoto wa tembo

  1. M

    Hizi ndio sifa za mikoa mbalimbali ya tanzania

    nikweli kuhusu matumizi ya jani kuu.ukitaka kuamini ingia uwanja wa shekh Amri Abeid muda wote umejaa hasa ule upande wa magharibi pembeni ya jukwaa A.watu wanalanduka kuanzia asubuhi mpaka asubuhi.
  2. M

    mbona hatupewi update kuhusu uchimbaji wa mafuta??au ndio Obama anjimegea taratibu!

    huhusu gesi tunajua japo kwa asilimia ishirini au selasini. vipi kuhusu hayo mafuta tuliyoambiwa yamepatikana na utafiti unaendelea. nijuavyo unavyoambiwa utafiti nikua watu wanajichotea wapendavyo.mbona hatuoni hata stori moja kuhusu kinachojiri?? siasa za nchi hii zinatutia umasikini...
  3. M

    Wamaasai Wafukuzwa Mkoani Tanga, Maboma Yao Yachomwa Moto

    walinzi wa nyumba za wachaga wote ni hao ndugu zake Ole medeye nafikiri unajua nguvu ya wachaga hapa nchini. hata kule kwetu mfanyabiashara. mkubwa nimchaga...vipi kwenu??!
  4. M

    Mbowe ana hekima sana!

    mizengo kayanza pita pinda.... we piga tu...ninasema tutawapiga tu ninatoa amri piga tu. hekima ni majaliwa sio jamani.
  5. M

    Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

    huyu bichwa wa bumbuli anajidanganya kweli. hivi bongohii kuna asiemjua MNYIKA J.JOHN kweli???! ahahahaaaaa...unatamani ungekua jembe J.J MNYIKA acha dhambi we -----' mshukuru MUNGU kwa jinsi ulivyo alafu acha dharau.watu washaamka.
  6. M

    Ole Medeye umeamua kumuasi Mungu?

    huyu ole medeye kweli anaufahamu mdogo sana. hao anaowaita wazawa pale Arusha wapo wachache sana. sasa anapotegemea kura za wazawa sijui anatumia utafiti gani alioufanya. mji wa Arusha una watu mbalimbali hao wenyeji tena kwa Arusha mjini hawafiki hata asilimia ishirini.
  7. M

    Wengine mlisema labda gesi ya ushuzi ndio itatoka mtwara.

    ukitaka kujua hii nchi kuna wezi ulizia gharama za kusafirisha hayo mabomba kama hauta zimia au kufa kabisa.
  8. M

    Hongera vyombo vya habari kwa kupuuza habari za CHADEMA

    mimi nipo HYDOM mkoa wa manyara huku hakuna gazeti wala hiyo redio yenu ya kiudaku. watu wana browse JF kama kawa na wanaipa CHADEMA big up mbaya kabisa. bomu alilorusha mwigulu Arusha na kuua watu ndio matokeo ya uchaguzi wa udiwani . huwezi panda ubaya ukavuna wema...! upumbavu wa sisiemu...
  9. M

    Tendwa: Kwa hili la Red Brigade, Nitaifuta CHADEMA!

    anazeeka vibaya sana huyu mzee... alakini ndio faida za kutumiwa hizo. hana ubavu kkama anavyoropoka.
  10. M

    Uchumi wa Arusha umekwisha tuufanye kuuokoa???

    watu wako safi kiuchumi ndio maana magamba wenzio wamekosa wakuwahonga kanga na buku saba za Limumba. tafuteni wakuwapelekea hayo makofia na tshirt zenu,nyambaff mkubwa!!
  11. M

    Ole Sendeka afichua ufisadi wa wabunge!

    sendeka nalo jizi. hile kauli yake ya "serikali sikivu ya chama cha mapinduzi"huwa ni kujisahau au kutokujua anachosema au ni unafiki, haya majitu kweli ni janga kwa taifa. Sendeka nae mwizi tu hana lolote huyo..kua sisiemu ni sawa na kuwa kwenye jela ya fikira huru,uhuru wa kufikiri.
  12. M

    Mtoto wa Liyumba akamatwa na madawa ya kulevya yenye thaman ya Bil 9 Tsh

    sio kesi tu hata yakichomwa moto huwa hatuoneshi. alakini bangi utaoneshwa yakichomwa moto japo sio yote. huyu Nzowa mimi nadhani ndie muuzaji mkuu wa hayo madawa. kwanini hatuoni yakiharibiwa na watuhumiwa hatusikii wakihukumiwa vifungo kwenda jela. hii nchi bila kuitoa chichiemu madarakani...
  13. M

    Wazo la Ugomvi: Hili la Dr. Slaa Askofu Mwamakulu aombe radhi Kanisa na Kutubu

    jamani ilikuondoa mzizi wa fitna!. tunaomba CV ya huyu Mwamakula.nijuavyo mpaka uitwe askofu au padri lazima Bibilia anijua kwa ufasaha wakutosha,huyu unawezakuta ni wale makanjanja wanaojiita manabii na wanamajengo yao wanayita kanisa alakini yana majina yao. tunaomba hiyo CV jamani.
  14. M

    Lissu: Serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi!

    serekali corrupt itakua ina kimbizana na wafanya bishara wadogo ikiwaacha wafanyabiashra wakubwa tena ikiwasaidia kukwepa kulipa kodi. mfano mzuri ni makampuni ya simu,hayalipi kodi na hata umeme pia hawalipi,wanatumia umeme wa wizi hawalip bili,huku mtaani watu wanasumbuliwa kila siku kuhusu...
  15. M

    Watu bora kabisa kupata kutokea

    jeykei hata uweke orodha mpaka ifike bilioni hawezi kuwepo. historia unaijua kweli? vigezo je? mzee wa Mwitongo na Madiba hawana mfano aisee...
Back
Top Bottom